radavi
Senior Member
- Oct 17, 2014
- 179
- 54
Kuna nini baruti mmekata umeme?Hudum imerejea mpendaa mteja wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini baruti mmekata umeme?Hudum imerejea mpendaa mteja wetu
KAMA AMBAVYOTUMEJIBU HAPO JUU TUNAENDELEA KUSISITIZA KUWA NGUZO HAZIUZWI BALI MTEJA ANALIPIA GHARAMA HALISI YA KUFUNGIWA UMEME TUHili swali wameulizwa muda mrefu humu ndani lakini hawalijibu bali wanakwepa, sijui kwanini. Tanesco mkuje huku mtuweke wazi hili suala la nguzo....
JinaMafundi wenu wamepitisha na kuchimba nguzo kwenye kiwanja changu na kupeleka umeme kwa jirani nyumba ya 4 kutoka kwangu, nimeenda kutoa taarifa Mbezi nawao wakasema mafundi watakuja lakini leo sijawaona, eneo ni Goba
Safi sanaKAMA AMBAVYOTUMEJIBU HAPO JUU TUNAENDELEA KUSISITIZA KUWA NGUZO HAZIUZWI BALI MTEJA ANALIPIA GHARAMA HALISI YA KUFUNGIWA UMEME TU
Safi sana hata huko kwenye vijijini tutapata umeme kama ni suala la mtu kulipia umeme tuKAMA AMBAVYOTUMEJIBU HAPO JUU TUNAENDELEA KUSISITIZA KUWA NGUZO HAZIUZWI BALI MTEJA ANALIPIA GHARAMA HALISI YA KUFUNGIWA UMEME TU
JE MMESHAPATIWA HUDUMA? KAMA BADO TUNAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU TAFADHALIMkuu TANESCO tunaomba mtusaidie wakazi wa Mbezi beach BOT mtaa wa Mokanga leo ni siku ya pili sasa hatuna umeme, kuna hitilafu imetokea kwenye transformer ya karibu na umeme umezimika kwa baadhi ya nyumba.. kila tukipiga simu kituo chenu cha Mbezi beach wanasema watakuja kurekebisha ila mpka sasa hakuna kilichofanyika na umeme hakuna. Vyakula vinaharibika kwenye fridge na joto ni kali sana. Tunaomba mturejeshee umeme au mpka tumpigie simu Kalemani jamani
Namba ya mita 01342251426 nimebadilishiwa matumizi kutoka madogo kwenda makubwa bila sababu na sijawahi kukiuka taratibu za matumizi madogoNamba ya mita
Tunashukuru walikuja wakarebisha na saa tano usiku umeme ukawakaJE MMESHAPATIWA HUDUMA? KAMA BADO TUNAOMBA NAMBA YAKO YA SIMU TAFADHALI
Mimi nataka by december nitinge kwenye ofisi za Tanesco mkoa nipate ufafanuzi, lakini siasa zinakuwa nyingi kuliko uhalisia, hili jambo hawaliweki wazi bali wanaongea tu kwa ....mfano mimi nilipo na chanzo cha umeme kilipo nitahitaji nguzo 11, je hizo nguzo 11 nitapewa bure? Au nitaunganishiwa kwa gharama ya elf 27 tu?/ haya mambo hawayaweki wazi wanayafumba fumba sijui kwanini......tanesco hebu kuweni wawazi jamani vijijini tunahitaji umeme pia na umeme usiwe kwa ajili ya watu walioko mijini pekee bali watu wote....Kuna taarifa za kuchanganya sana kuhusu Gharama za kuingiziwa umeme majumbani. Waziristan mwenye shamans hivi punde amefafanua bungeni kuwa Gharama hizo ni tsh. 27,000 kwa vijijini na hata mjini na hakuna gharama za nguzo. Lakini hali ni tofauti huku kweny ofisi za tanesco ambako huduma ndio zinatolewa, gharama ya nguzo ipo kulingana na umbali na kulipia line ni tsh. 177,000 kama sikosei. Lipi sahihi hapo?
Habari.. Hiv kwa mtu alie lipia 02/9/2019 inafaa mpaka Leo kua hajapata huduma ya kuungiwa umeme. Kwa maeneo ya chanika*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*
*TAARIFA YA KUOMBA RADHI WATEJA WA MARA NA UKEREWE KUTOKANA NA HITILAFU YA UMEME ILIYOJITOKEZA*
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wa Mkoa wa Mara na Wilaya ya Ukerewe kutokana na hitilafu ya umeme iliyotokea katika njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Mwanza mpaka Mara leo majira ya saa 1:10 jioni katika kijiji cha Ilungwi Wilayani Magu baada ya mkazi mmoja wa kijiji hicho kupanda katika Nguzo kubwa ya kusafirisha umeme namba 159 ambaye alifariki hapo hapo. Mwili wa marehemu ulichukuliwa na polisi kuhifadhiwa na taratibu zingine.
*MAENEO YALIYOATHIRIKA NI*
Mkoa wote wa Mara na Wilaya ya Ukerewe
*HATUA ZILIZOCHUKULIWA*
Wataalamu wetu na mafundi walichukua hatua za haraka kubaini chanzo cha tatizo ili kuhakikisha huduma ya umeme inarejea kwa haraka na mpaka kufikia Muda wa 04:20 Usiku, huduma ya umeme ilirejea katika maeneo yote yaliyokuwa yanakosa huduma.
Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.
*Kwa mawasiliano zaidi*
kituo cha miito ya simu 2194400 na 0768 985100
Facebook Tanesco Yetu
*IMETOLEWA NA:*
OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU
18 NOVEMBA 2019.
Je ulipatiwa gharama hizi lini? Wilaya eneo namba ya simu na je ulipatiwa kwa maandishi?Kuna taarifa za kuchanganya sana kuhusu Gharama za kuingiziwa umeme majumbani. Waziristan mwenye shamans hivi punde amefafanua bungeni kuwa Gharama hizo ni tsh. 27,000 kwa vijijini na hata mjini na hakuna gharama za nguzo. Lakini hali ni tofauti huku kweny ofisi za tanesco ambako huduma ndio zinatolewa, gharama ya nguzo ipo kulingana na umbali na kulipia line ni tsh. 177,000 kama sikosei. Lipi sahihi hapo?
Ikishazidi nguzo mbili inakuwa mradi hivyo haiupaswi kulipia bali kusubiri huduma ya umeme ikaribie eneo lako kupitia miradi yetuMimi nataka by december nitinge kwenye ofisi za Tanesco mkoa nipate ufafanuzi, lakini siasa zinakuwa nyingi kuliko uhalisia, hili jambo hawaliweki wazi bali wanaongea tu kwa ....mfano mimi nilipo na chanzo cha umeme kilipo nitahitaji nguzo 11, je hizo nguzo 11 nitapewa bure? Au nitaunganishiwa kwa gharama ya elf 27 tu?/ haya mambo hawayaweki wazi wanayafumba fumba sijui kwanini......tanesco hebu kuweni wawazi jamani vijijini tunahitaji umeme pia na umeme usiwe kwa ajili ya watu walioko mijini pekee bali watu wote....