state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,510
Serkal inarekebisha miundombinu hasa katika kilindi hiki cha mvua ukiona waya umeanguka usiukanyage pia usisahau kilipia luku
State agent
State agent
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku niliko umeme haueleweki unakatika katika hovyo.
Kwa taarifa kuwa mbeya na moro hakuna umeme sijui mikoa minginmingine
Wapo Canada? ? ?Wakata umeme wako canada bana tusiongopeane hapa
Sawa msemaji wa tanesco tumekuskiaSerkal inarekebisha miundombinu hasa katika kilindi hiki cha mvua ukiona waya umeanguka usiukanyage pia usisahau kilipia luku
State agent
UTEKELEZAJI wa miradi ya usambazaji umeme inaenda kwa awamu hivyo ikiwa mbali na miundimbinu unashauriwa kusubiri awamu yako kukufikishia umemeNashukuru sana na umenijibu vizuri sana na nimekuelewa ndugu Tanesco, je km hilo eneo halimo kwenye mradi na Tanesco\REA hawana mpango wa kunifikishia umeme kwenye eneo hilo linalo hitaji nguzo 11 , na tayari umeniambia kuwa ikizid nguzo mbili huo unajulikana km mradi nifanyeje ili nipatiwe huduma ya umeme?
Nawashukru kwa huduma hii, Mi niko Mwanza nina tatizo kama la ndugu hapo juu nimelipia TANESCO-NYAKATO nguzo mbili tangu Tarehe 6 Septemba 2016 hadi leo sijaletewa nguzo, kila siku madai ni hakuna nguzo sasa mi kama mteja hamuoni kama mnanionea?
Ikumbukwe hadi kulipa hiyo pesa kuna huduma niliamua kutozifanya ili nipate huduma ya umeme, badala yake nimekosa huduma zote mpaka leo huku nyie pesa yangu mkiifanyia biashara.
Naomba nipewe ufafanuzi kuhusu jambo hili.
Natanguliza shukrani zangu.
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidiSisi wakazi wa Mwananchi, Nyakato, Buzuruga, Igoma tumepata adha kubwa tangu jana saa moja na nusu usiku mpaka leo saa moja na nusu kwa kukatika kwa umeme. Mpaka sasa hakuna sababu iliyotolewa juu ya kukatika kwa umeme huo ambao umechukua muda mrefu sana kuweza kurudi. Busara itumike kutueleza ni kitu gani kilichosababisha umeme kukatika muda mrefu hivyo na suluhisho linalotakiwa kuchukuliwa ili tatizo kama hilo lisitokee tena.