Kwa shida yako ile hawakuitaji kuomba namba ya sim kwa kua tatizo ni la jamii... inaonekana walitaka namba kwa ajili ya kukuziba mdomo......Yani nyie TANESCO mmenishangaza sana nimetoa malalamiko yng kuhusu tatizo la umeme Liwale lkn kuna wafanyakazi wenu wanatoa kauli ambazo kwa tafsiri yake ni km wanatutishia sisi wananchi yn inaonesha kwamba tusiwe tunatoa kero zetu bali tuwe tunawasifia tu kuna mfanyakazi wenu alinipigia simu anasema natoa habari za uongo kwamba Liwale hakuna tatzo la umeme wakati ukweli halisi kuna tatizo kubwa la umeme huyo jamaa namba zake ni 0782 546 024 badala ya kufanya uchunguzi yeye analazimisha kwmb umeme upo Liwale na wananchi wanasifia kwmb umeme haukatiki katiki wakati ukweli ni kwamba umeme uku Liwale haueleweki isitoshe yeye anaishi Dar hajui chochote kuhusu Liwale na kinachonishangaza zaidi anataka kutuma watu wake tukutane nyumbani kwng kana kwmb mm ndo mwenye shida ya umeme peke angu ilihali tatizo ni la Liwale nzima ss badala ya kusolve hii changamoto inageuka uhasama baina ya shirika na sisi walipa kodi tunaomba watumishi TANESCO mtusaidie cc wananchi na co kututishia kwn hz kero tunapozitoa tunazielekeza kwa shirika na co mtu binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa shida yako ile hawakuitaji kuomba namba ya sim kwa kua tatizo ni la jamii... inaonekana walitaka namba kwa ajili ya kukuziba mdomo......
Me nadhani haya mashirika yetu mengine haya Mheshimiwa angeajiri wazungu pengine unafuu utapatikana mana hawa waliopo wanashindwa kwenda na kasi anayoitakaKweli kabisa katoto22october mana jamaa aliponipigia maneno aliyoongea mpk nkashangaa anasema eti wananchi wa Liwale wanaipongeza TANESCO wkt co kwel umeme jana tu ulikatika zaidi ya mara tatu na apa saiz hamna umeme ni mambo ya ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wasaidizi wa Mkuu wa nchi wapo humu na wanaona malalamiko yetu tunatumai hawatasita kuyafikisha panapo stahiliNyakato mwanza watumishi wenu wamezidi kwa rushwa jaman...pia kuna wengine wanatumia nembo ya tanesco kutuibia wateja...mifano ni mingi. Ukipeleka malalamiko kwa afisa usalama wa kanda ya mwanza unanyimwa fursa ya kuonana nae. Nikiweza ntawataja kwa majina na pia ofisi za Nyakato na mjni wanataarifa ila hakuna hatua inayochukuliwa kwa wahusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee...wafanye hivyo.Nadhani wasaidizi wa Mkuu wa nchi wapo humu na wanaona malalamiko yetu tunatumai hawatasita kuyafikisha panapo stahili
Sent using Jamii Forums mobile app
ulifikiri bure 😀😀[emoji848]
Waliniekea umeme juzi kumbe zile unit wanazoweka ni madeni ??
Uliona raha tu mkuu. Pole sana ila hamnaga vya bure mkuu.[emoji848]
Waliniekea umeme juzi kumbe zile unit wanazoweka ni madeni ??
Huku kwetu JUMEME unit 1 sh 3500Tanesco Mbona sielewi ?
View attachment 1301533