Yani nyie
TANESCO mmenishangaza sana nimetoa malalamiko yng kuhusu tatizo la umeme Liwale lkn kuna wafanyakazi wenu wanatoa kauli ambazo kwa tafsiri yake ni km wanatutishia sisi wananchi yn inaonesha kwamba tusiwe tunatoa kero zetu bali tuwe tunawasifia tu kuna mfanyakazi wenu alinipigia simu anasema natoa habari za uongo kwamba Liwale hakuna tatzo la umeme wakati ukweli halisi kuna tatizo kubwa la umeme huyo jamaa namba zake ni 0782 546 024 badala ya kufanya uchunguzi yeye analazimisha kwmb umeme upo Liwale na wananchi wanasifia kwmb umeme haukatiki katiki wakati ukweli ni kwamba umeme uku Liwale haueleweki isitoshe yeye anaishi Dar hajui chochote kuhusu Liwale na kinachonishangaza zaidi anataka kutuma watu wake tukutane nyumbani kwng kana kwmb mm ndo mwenye shida ya umeme peke angu ilihali tatizo ni la Liwale nzima ss badala ya kusolve hii changamoto inageuka uhasama baina ya shirika na sisi walipa kodi tunaomba watumishi
TANESCO mtusaidie cc wananchi na co kututishia kwn hz kero tunapozitoa tunazielekeza kwa shirika na co mtu binafsi
Sent using
Jamii Forums mobile app