Dubai Market
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,186
- 1,595
Tanesko lujewa mnalijua hili? Madibila watu waliolipia umeme wa rea wanaombwa rushwa ya 150000 ili wa fungiwe umeme. Niko tayari kuwapa ushirikiano wananchi wanaonewaSawa
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
KweliHawa jamaa wamegawa bei zao eti wanadai mtumiaji wa kawaida anatumia units75 kwa mwezi, loooo! ki ukweli hizi unit hazitoshi hasa kwa mtumiaji mwenye nyuma ya vyumba vinne fridge dogo, tv inch24 au 32 energy saver kwa vyumba vyote na taa mbili nje na hivyo ni vitu vya kawaida tu ambavyo mtu anakuwa navyo,
nadhani niwaombe tanesco waongeze angalau matumizi ya kawaida nyumban iwe units 100 halafu baada ya hapo ndio waonheze hayo madaraja ya watumiaji wakati na wa juu , lakin kwa sasa ni mateso tu hata raha ya umeme huion kabisaa maana unatumia kwa kuvizia vizia ili usizid unit 75 kwa vitu ambavyo ni vya kawaida kabisa kwa mtanzania wa kawaida kumiliki dunia ya sasa imebadilika technology pia
Yaani unatumia umeme kwa masharti utadhani unatumia umeme wa solar yaanii nchi hii bwana shida kila kitu hakiko sawa yaan inamapungufu mwakubwa sana kwa kila jamboHuduma Hiyo Ya Units 75 Kwa Mwezi
Uliipata Baada Ya Kwenda Kuiomba TANESCO
Itabidi Wafikirie Upya Maana Kwasasa Umeme Siyo Anasa
Hawa jamaa wamegawa bei zao eti wanadai mtumiaji wa kawaida anatumia units75 kwa mwezi, loooo! ki ukweli hizi unit hazitoshi hasa kwa mtumiaji mwenye nyuma ya vyumba vinne fridge dogo, tv inch24 au 32 energy saver kwa vyumba vyote na taa mbili nje na hivyo ni vitu vya kawaida tu ambavyo mtu anakuwa navyo,
nadhani niwaombe tanesco waongeze angalau matumizi ya kawaida nyumban iwe units 100 halafu baada ya hapo ndio waonheze hayo madaraja ya watumiaji wakati na wa juu , lakin kwa sasa ni mateso tu hata raha ya umeme huion kabisaa maana unatumia kwa kuvizia vizia ili usizid unit 75 kwa vitu ambavyo ni vya kawaida kabisa kwa mtanzania wa kawaida kumiliki dunia ya sasa imebadilika technology pia
Mkuu Wengi Wanaotumia Units 75 Ni Wa Hali Ya Kawaida Ambapo Serikali Imesema Inawajali MasikiniYaani unatumia umeme kwa masharti utadhani unatumia umeme wa solar yaanii nchi hii bwana shida kila kitu hakiko sawa yaan inamapungufu mwakubwa sana kwa kila jambo
Hapana mkuu usipotoshe units75 ni kwa watumiaji wa chini bila kujali upo rural au urban na swala la gharama za za kuingiza umeme hakuna bei hiyo ya 27,000/= kwa vijijini isipo kuwa tu bei hiyo ni kwa maeneo yenye mradi maalum pekee kama REA kwa sasa , kama hakuna mradi hata ungekuwa isitimbi uta fuata utaratibu wa TANESCO ila kuna bei za rural na urban lakin si 27000/= kama eneo lako halipo kwenye mradi maalumu. Hebu pitia hapa kidogo.Tafsiri Ya Units 75 sio uliotoa Hapo juu mtoa Uzi units 75 ni specifically Kwa Watu wa vijijini.Kama ni mfuatiliaji mzuri utagundua Watu wa vijijini kuingiza Umeme au kufungiwa mita Ya njia Moja ni 27,000/= na njia tatu ni 139,120.74.Hivyo kuwa mpole maana gharama za uendeshaji mitambo Zipo juu.
Aisee utaumiza kichwa bure Kwa kutoelewa na kulazimisha uongezewe units zaidi Ya 75 Kwa sababu offer hii ililenga vijijini ila mjini mmevamia Ndo maana unaona hazitoshi ila cc bush zinatosha na kusaza.Hapana mkuu usipotoshe units75 ni kwa watumiaji wa chini bila kujali upo rural au urban na swala la gharama za za kuingiza umeme hakuna bei hiyo ya 27,000/= kwa vijijini isipo kuwa tu bei hiyo ni kwa maeneo yenye mradi maalum pekee kama REA kwa sasa , kama hakuna mradi hata ungekuwa isitimbi uta fuata utaratibu wa TANESCO ila kuna bei za rural na urban lakin si 27000/= kama eneo lako halipo kwenye mradi maalumu. Hebu pitia hapa kidogo.View attachment 554017
Umesoma shule gani mwenzetu maana inaonekana kichwa yako ni zaid ya tikiti, umesha ambiwa kuwa hiyo bei ya 27,000/= ni ya mradi na kwa sasa ni mradi wa REA umeme vijijini, usiwe mbishi kwa vitu usivyo vijua gharama za kuunganisha umeme nje ya mradi hakuna bei hiyo ya 27000/= elewa basi hata kama watanzania ni wagumu kuelewa jitahidi hivyo hivyo.Aisee utaumiza kichwa bure Kwa kutoelewa na kulazimisha uongezewe units zaidi Ya 75 Kwa sababu offer hii ililenga vijijini ila mjini mmevamia Ndo maana unaona hazitoshi ila cc bush zinatosha na kusaza. Mm sipotoshi naunaweza kuniweka Sawa Kama nakosea ila bei Zipo tofauti Kuna kulipia uunganishaji wa Umeme wa njia Moja Kwa bei Ya 320,960/=,177,000/= na 27,000/= zote zinakubalika kulinga na mazingira Husika.
Naona umenielewa na umehama kwenye kupunguziwa bei Kama mtazamo wako ni shule uliyosoma Ndo tatizo utakuwa hujielewi tunaangalia level uliyosoma/uliyofika.Umesoma shule gani mwenzetu maana inaonekana kichwa yako ni zaid ya tikiti, umesha ambiwa kuwa hiyo bei ya 27,000/= ni ya mradi na kwa sasa ni mradi wa REA umeme vijijini, usiwe mbishi kwa vitu usivyo vijua gharama za kuunganisha umeme nje ya mradi hakuna bei hiyo ya 27000/= elewa basi hata kama watanzania ni wagumu kuelewa jitahidi hivyo hivyo.
Mpendwa mtejaIvi tanesco? Inakuwaje kutoka makao makuuu ni kmt 23 tu! Kijiji cha manjioni haina umeme? Zaidi ya nyumba 1000_ toka mwaka Jana mmeleta nguzo! Mpk Leo hamjarudi? Mbagala kwa mbiku! Au charambee!! Dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app