Location mwaza sengerema kijini busisiWanna jamvi naomba kuuliza ukiwa unahitaji kuunganishiwa umeme na pakahitaji nguzo moja tu garama zake zikoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumbo lote la Mtwara vijijin umeme ni shida wanakata saa moja wanarudusha saa nane ucku na wakat mwingin mchana kutwa umem, mbunge yupo dar anakula bataTannesco mtuambie ukweli Kuna tatizo gani linalosababisha kukatikatika kwa umeme mtwara vijijini pamoja na kuambiwa tuna access ya Megawatt karibia kumi za umeme. Tatizo Ni Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umelipa lini? Kwa jina gani?namba yako ya simu na wilaya tafadhaliHongera sana RAIS, we real appreciate; Ila bado awanyooshe kabisaaa maana bado usumbufu kwenye kuungiwa umeme mjini 321,000/- bila nguzo hata moja kuhitajika, ni mita tu na kasha mita ni yao, japo wao kumiliki hizi mita ni sawa kabisaaa maana huduma ni zao, isije mtu akabidhiwa mita iwe yake halafu aka ichezea apendavyo maana ni yake
Je umeuziwa wapi? Jina?namba ya simu na kiasi ulicholipaNguzo bure wapi wakati bado Tanesco wanawauzia hizo nguzo wananchi??????? Matamko ya viongozi na watendaji wa Tanesco ni vitu viwili tofauti.
Kipindi kipi? Jina? Wilaya? SimuAcha uongo wapuuzi (Tanesco ) wa Dodoma wamenipigia gharama za nguzo karibu 4, 000,000/-
Tunashukuru kwa taarifa,tafadhali tupatie namba yako ya simi kwa hatua zaidiMimi nimekua tayari kulipia nguzo na nikaunganishiwa umeme. Hili haliniumizi... linaloniumiza ni umeme kukatika mtaani kwetu kila siku iendayo kwa Mungu kwa masaa average manne.. kama jana 28.12.2019, umeme umekatika for 8 hours.. saa saba mchana mpaka saa mbili usiku.. sababu ya msingi hamna... unapiga emergency, wanasaidia kwa kutuma mafundi nadhani,umeme unarudi kwa dakika kama 15... lakini baada ya muda mchache umeme unakatika tena... inaumiza saannaa saannaa saannnaaa..... tanesco ninawaomba kwa heshima tatueni kero yetu... tunaumia.. kulipa 3.9m kuunganishiwa umeme kisha umeme kukatikakatika kila saa inauma kupita kiasi... biashara tunazofanya zinategemea umeme kwa 100 %... juzi nimeshusha mzigo wa kuku na samaki woote wameharibika.. Mungu anawaona!
Mimi ni mwananchi mtiifu. Ninaishi Gomba estate - mtaa manyire wa manyire tunahudumiwa na kituo cha usa river arusha.