marongota
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 294
- 222
Morogoro ifakara kata ya mbasa,kwa niaba ya wananchi tunaomba namba ya wazir mwenye dhamana tumweleze kero yetu, Ni kuwa tangu tulipe umeme wa mrad mwez wa 9 hadi sasa hatujafungiwa umeme na mkandaras haonekan, hakuna kinachoendelea zaid ya porojo na rushwa kwa wing,