TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
MUzoefu Mkuu nenda tanesco Manispaa X utaambiwa mita hazijafika. Toa pesa uone kama hujapigiwa simu ukawekewe. Nawaomba mameneja wajue hilo. Tuna ilala,temeke,kigamboni,ubungo na kinondoni, kinondoni inanafuu. . Wenye ushuhuda watakuja hapa.

Wewe nenda, fanya process subiri, utasubiri weeeeeee.

Lkn nenda fanya process, chukua namba ya mjamaa mpigie onana nae mpe chochote. Umeme unawekewa within no time. Hawa ndio watendaji wetu.

Takukuru jikiteni hapo mkamate watu
Ahsante kwa ufafanuzi maridhawa! kuna harufu Fulani niliisikia kwa mbaliii halafu nikaona kitu Fulani nikakipotezea .

Kwa awamu hii, Sina wasiwasi kabisa naamini ntapata huduma nisipopata kitu pekee ni kujivika ujasiri hata humu msaada majibu ya ukweli unapata .

Vinginevyo najua kusoma huu mlango wa Fulani, na huu wafulani unaofuata ni wa Nani mpaka kieleweke.
 
Kila taasisi ina tafsiri tofauti ya Emergence, kwa mfano Emergency ya hospitali ni tofauti na emergency ya Shule au bima, inategemea pia na nature ya tatizo lililojitokeza na ukubwa wake, Tanesco ni Shirima mtambuka, linahudumia watu wengi pamoja na limited resources walizonazo, kama Hospitali kuna tatizo la Umeme, usitegemee kuwa watawahi kwako waache kwenda Hospitali, au kama Luna Nyumba inaungua sehemu usitegemee kuwa watawahi kwako waache kutoa msaada hapo kwa kushirikiana na Zimamoto, vuta Subira au Fanya ulivyoshauriwa kwenda tanesco kutoa Maelezo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUzoefu Mkuu nenda tanesco Manispaa X utaambiwa mita hazijafika. Toa pesa uone kama hujapigiwa simu ukawekewe. Nawaomba mameneja wajue hilo. Tuna ilala,temeke,kigamboni,ubungo na kinondoni, kinondoni inanafuu. . Wenye ushuhuda watakuja hapa.

Wewe nenda, fanya process subiri, utasubiri weeeeeee.

Lkn nenda fanya process, chukua namba ya mjamaa mpigie onana nae mpe chochote. Umeme unawekewa within no time. Hawa ndio watendaji wetu.

Takukuru jikiteni hapo mkamate watu
Je unaushahidi wa tuhuna zako? Tafadhali toa taarifa kamili inbox kwa hatua zaidi au fikisha TAKUKURU kwa hatua zaidi adala ya kutoa tuhuma bila ushahidi inakuwa upotoshaji weka ushahir tukupatapatie majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je unaushahidi wa tuhuna zako? Tafadhali toa taarifa kamili inbox kwa hatua zaidi au fikisha TAKUKURU kwa hatua zaidi adala ya kutoa tuhuma bila ushahidi inakuwa upotoshaji weka ushahir tukupatapatie majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu yenye matumaini, kisheria nikikamilisha kila kitu, siku ngapi nawekewa umeme. Kwa sabb dalili za kuombana rushwa si lazima uombwe, unaona mazingira, majibu unayopewa, ucheleweshwaji, na Mambo kibao.
 
Gongo la mboto umeme unakatikakatika sana tokea wiki iliopita mpaka leo,watu tunashindwa hata kufanya Shughuli zetu,sijui tatzo n nn nyie Tanesco[emoji22],Leo tu umekatika mara nne,mara ukatike mara urudi,4× today & this time now no power,[emoji22]

Sent from Nokia 7 Plus
 
Majibu yenye matumaini, kisheria nikikamilisha kila kitu, siku ngapi nawekewa umeme. Kwa sabb dalili za kuombana rushwa si lazima uombwe, unaona mazingira, majibu unayopewa, ucheleweshwaji, na Mambo kibao.
Taratibu zote hizo zipo kwenye mkataba wa huduma kwa wateja je wewe umeomba umeme lini? Wilaya na namba yako ya simu? Je kuna mahali tumekuomba rushwa? Kama ndio nenda TAKUKURU ili sheria ichukue mkondo wake au leta taarifa kamili kwa viongozi wa shirika kwa hatua zaidi badala ya kuchafua taswira yetu bila ushahidi

Habari, tokea jana tunashindwa kuingiza umeme. Kila tukiingiza umeme mita inagoma. Je suluhisho ni nini kwa tatizo hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taratibu zote hizo zipo kwenye mkataba wa huduma kwa wateja je wewe umeomba umeme lini? Wilaya na namba yako ya simu? Je kuna mahali tumekuomba rushwa? Kama ndio nenda TAKUKURU ili sheria ichukue mkondo wake au leta taarifa kamili kwa viongozi wa shirika kwa hatua zaidi badala ya kuchafua taswira yetu bila ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni sababu ya majibizano haya, nimeeleweka. Rely kwenye hoja, 2 to 3 months jibu vifaa hajijaja, promise haziishi, sijui luku hakuna, what does this emply
 
Salaam Tanesco, nahitaji umeme wa matumizi ya nyumbani, kilipo chanzo cha umeme ni umbali wa Km 1.5 (yaani haizidi umbali huo na hili ni kadrio la juu ambao ni kilometa moja karbia na nusu) kufika sehemu ninayo hitaji kuweka umeme, nilienda kuulizia Tanesco nikapewa majibu ambayo sikuyaelewa. Naomba kujuzwa nifanyeje ili niweze kupatiwa umeme?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua fomu ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe, jaza na rudisha hio fomu na utafanyiwa ukaguzi na kupewa gharama za kuunganishia umeme
Salaam Tanesco, nahitaji umeme wa matumizi ya nyumbani, kilipo chanzo cha umeme ni umbali wa Km 1.5 (yaani haizidi umbali huo na hili ni kadrio la juu ambao ni kilometa moja karbia na nusu) kufika sehemu ninayo hitaji kuweka umeme, nilienda kuulizia Tanesco nikapewa majibu ambayo sikuyaelewa. Naomba kujuzwa nifanyeje ili niweze kupatiwa umeme?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakurahisishia Maisha yako
IMG_20200224_180539_865.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom