TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tatizo hakuna hata mtu anayesimama na kusema; Tatizo lililotokea pale ndo limeleteleza ukosefu/kukatika kwa umeme Tz nzima. This is ridiculous!!
Kweli huwezi amini umeme umekatika Tz nzima ghafla halafu hakuna msemaji. Tutafika kweli?? Kiaya huwa tunasemaga; Chonka mbwenu Turagobaa???
 
Back
Top Bottom