Huku emergency ni kwa wagonjwa tu....Hizo huduma nyingine kama maji,umeme,king'amuzi,papuchi mpaka uwafuate wahusika ndo kero yako itatatuliwa kwa haraka.
Hahaa kuna jamaa yangu aliulizwa 'kaka unahitaji huduma'... Itakuwa nayo ni huduma.
Ahsante kwa ufafanuzi maridhawa! kuna harufu Fulani niliisikia kwa mbaliii halafu nikaona kitu Fulani nikakipotezea .MUzoefu Mkuu nenda tanesco Manispaa X utaambiwa mita hazijafika. Toa pesa uone kama hujapigiwa simu ukawekewe. Nawaomba mameneja wajue hilo. Tuna ilala,temeke,kigamboni,ubungo na kinondoni, kinondoni inanafuu. . Wenye ushuhuda watakuja hapa.
Wewe nenda, fanya process subiri, utasubiri weeeeeee.
Lkn nenda fanya process, chukua namba ya mjamaa mpigie onana nae mpe chochote. Umeme unawekewa within no time. Hawa ndio watendaji wetu.
Takukuru jikiteni hapo mkamate watu
Je unaushahidi wa tuhuna zako? Tafadhali toa taarifa kamili inbox kwa hatua zaidi au fikisha TAKUKURU kwa hatua zaidi adala ya kutoa tuhuma bila ushahidi inakuwa upotoshaji weka ushahir tukupatapatie majibuMUzoefu Mkuu nenda tanesco Manispaa X utaambiwa mita hazijafika. Toa pesa uone kama hujapigiwa simu ukawekewe. Nawaomba mameneja wajue hilo. Tuna ilala,temeke,kigamboni,ubungo na kinondoni, kinondoni inanafuu. . Wenye ushuhuda watakuja hapa.
Wewe nenda, fanya process subiri, utasubiri weeeeeee.
Lkn nenda fanya process, chukua namba ya mjamaa mpigie onana nae mpe chochote. Umeme unawekewa within no time. Hawa ndio watendaji wetu.
Takukuru jikiteni hapo mkamate watu
Tafadhali tusaidie jina eneo wilaya simu na namba ya mitaHabari ya usiku huu wadau, samahan mimi nina shida umeme kwangu umekata alafu kwenye mita imeandika error-1 samahan kwa yoyote anaejua jisi ya ku unlock anisaidie.
Majibu yenye matumaini, kisheria nikikamilisha kila kitu, siku ngapi nawekewa umeme. Kwa sabb dalili za kuombana rushwa si lazima uombwe, unaona mazingira, majibu unayopewa, ucheleweshwaji, na Mambo kibao.Je unaushahidi wa tuhuna zako? Tafadhali toa taarifa kamili inbox kwa hatua zaidi au fikisha TAKUKURU kwa hatua zaidi adala ya kutoa tuhuma bila ushahidi inakuwa upotoshaji weka ushahir tukupatapatie majibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu zote hizo zipo kwenye mkataba wa huduma kwa wateja je wewe umeomba umeme lini? Wilaya na namba yako ya simu? Je kuna mahali tumekuomba rushwa? Kama ndio nenda TAKUKURU ili sheria ichukue mkondo wake au leta taarifa kamili kwa viongozi wa shirika kwa hatua zaidi badala ya kuchafua taswira yetu bila ushahidiMajibu yenye matumaini, kisheria nikikamilisha kila kitu, siku ngapi nawekewa umeme. Kwa sabb dalili za kuombana rushwa si lazima uombwe, unaona mazingira, majibu unayopewa, ucheleweshwaji, na Mambo kibao.
Habari, tokea jana tunashindwa kuingiza umeme. Kila tukiingiza umeme mita inagoma. Je suluhisho ni nini kwa tatizo hilo?Taratibu zote hizo zipo kwenye mkataba wa huduma kwa wateja je wewe umeomba umeme lini? Wilaya na namba yako ya simu? Je kuna mahali tumekuomba rushwa? Kama ndio nenda TAKUKURU ili sheria ichukue mkondo wake au leta taarifa kamili kwa viongozi wa shirika kwa hatua zaidi badala ya kuchafua taswira yetu bila ushahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, tokea jana tunashindwa kuingiza umeme. Kila tukiingiza umeme mita inagoma. Je suluhisho ni nini kwa tatizo hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni sababu ya majibizano haya, nimeeleweka. Rely kwenye hoja, 2 to 3 months jibu vifaa hajijaja, promise haziishi, sijui luku hakuna, what does this emplyTaratibu zote hizo zipo kwenye mkataba wa huduma kwa wateja je wewe umeomba umeme lini? Wilaya na namba yako ya simu? Je kuna mahali tumekuomba rushwa? Kama ndio nenda TAKUKURU ili sheria ichukue mkondo wake au leta taarifa kamili kwa viongozi wa shirika kwa hatua zaidi badala ya kuchafua taswira yetu bila ushahidi
Sent using Jamii Forums mobile app
inachukua mda gani kutumiwa sms ya kulipia baada ya sarveyor kusavei nina wiki mbili toka aje na aliniomba nauli nikanmyima, kimya had sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam Tanesco, nahitaji umeme wa matumizi ya nyumbani, kilipo chanzo cha umeme ni umbali wa Km 1.5 (yaani haizidi umbali huo na hili ni kadrio la juu ambao ni kilometa moja karbia na nusu) kufika sehemu ninayo hitaji kuweka umeme, nilienda kuulizia Tanesco nikapewa majibu ambayo sikuyaelewa. Naomba kujuzwa nifanyeje ili niweze kupatiwa umeme?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari, tokea jana tunashindwa kuingiza umeme. Kila tukiingiza umeme mita inagoma. Je suluhisho ni nini kwa tatizo hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
TANESCO HAUKUNIJIBU HAPATANESCO mimi niko umbali wa kilomita 3.5 kutoka centre ya umeme nahitaji kuunganishiwa umeme.
Nifungue karakana ya mbao na Mashine ya kusaga.
Je naweza kupata hii huduma au kwa umbali huo siwezi kuunganishwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sanaChukua fomu ofisi ya TANESCO iliopo karibu na wewe, jaza na rudisha hio fomu na utafanyiwa ukaguzi na kupewa gharama za kuunganishia umeme
Sent using Jamii Forums mobile app