Tulifikiria kuwa tatizo sugu la umeme Mkoani Mwanza sasa basi lakini kwa siku za karibuni yapata majuma mawili sasa tatizo la umeme jijini Mwanza hasa kuanzia saa moja jioni mpaka muda wa saa tatu umeme huwa unakatika karibu kila siku.

Tunajiuliza hivi kuna tatizo gani? Ni vema umeme ukakatika muda wa mchana kulkio kukatika muda wa usiku.
 
igoma hapa ulikata saa moj ivo ivo mpka ngoma nne iv
 
Katibu wa CCM Tawi la Jamhuri kata ya Daraja mbili jijini Arusha, Aron Sanare Kivuyo anashikiliwa na jeshi la Polisi Jijini hapa kwa kosa la kumbaka na kumpatia ujauzito mwanafunzi wa kituo cha Compassion Mwenye umri wa miaka 15 baada ya kumrubuni kwa fedha na mahitaji mbalimbali aliyokuwa akimpatia.

Aroni Mwenye umri wa miaka 56 mkazi mtaa wa Sanare, Daraja mbili anadaiwa kumpachika ujauzito mwanafunzi huyo baada ya kumrubuni kwa kumpatia fedha na mahitaji mengine mbalimbali na baadae alimwomba fadhila ya ngono jambo ambalo alifanikisha adhima yake.

Diwani wa kata ya daraja mbili Prosper Msofe amethibitisha kukamatwa na kushikiliwa kwa kiongozi huyo wa ccm katika kituo cha polisi jijini hapa na kueleza kuwa wao kama viongozi wanalaani vitendo vya ubakaji na kulitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi ili kubaini ukweli wa tukio hilo na sheria ichukue mkondo wake.

Akizungumzia sakata hilo mratibu wa kituo cha Student Center (P.A.G )kilichopo Unga LTD jijini hapa, chenye ushirika na shirika la Compassion Tanzania,mratibu wa kituo hicho,Yona Kaaya amesema kuwa walifanikiwa kugundua ujauzito wa mwanafunzi huyo Mara baada ya kuona mabadiliko ya kiafya.

Amesema kuwa mwanafunzi huyo ambaye jina linahifadhiwa amekuwa akiishi na mlezi wake katika mtaa wa Sanare na kusoma masomo mbalimbali katika kituo hicho lakini juzi jumatatu alipelekwa kupimwa ujauzito katika hospital ya Mount Meru na kugundulika kuwa anaujauzito na kumtaja katibu huyo wa ccm kuwa ndiye mhusika Mkuu wa kupachika mimba watoto wadogo

Kwa upande wake baba mlezi wa msichana huyo Boniface Mbwambo amesema kuwa amekuwa akiishi na msichana huyo ambaye ni mtoto wa shemeji yake na kwamba tukio la kubakwa na kupewa ujauzito limemshitua sana.

“Nimegundua kuwa mtoto anaujauzito kutoka kwa wadhamini wake wanaomsomesha hapo Compassion Mimi kama mzazi wake mlezi nimesikitishwa sana ukizingatia aliyempa huo ujauzito ni kama babu yake ” Amesema Mbwambo.

Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Gadarro amekuwa akiionya jamii kuacha kuficha matukio hayo na kupatana kutumia mila na desturi na kueleza kuwa serikali ya wilaya kwa kushirikiana na vyombo vya dola imeandaa mkakati wa kuhakikisha matukio ya namna hiyo yanafiklchuliwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
 
Hiki chama kimejaabmajambazi watupu. Huku mtaa A matendo ya vibaka yameongezeka wengi wao wakiwa maafande jamii na hawafanywi kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO tafadhalini jirekebisheni mapema
Inakuwaje ki mvua tu kidogo umeme unakatika? Kuna maeneo mengi tu hapa Morogoro hayana umeme masaa 18 sasa tokea kimvua cha jana. Maeneo ya SUA yote, Kihonda Kilimanjaro hakuna umeme na wala hakuna taarifa yoyote. Je huu si uhujumu uchumi?
 
Influenza,
Hawa jamaa wameshajiona kwamba wao ni Untouchables. Kiasi kwamba mengine yameiba mpaka matrillion, lakini bado yapo uraiani, sababu tu ni wanachama wakati kuna wanaoshukiwa ambao wameshapewa kesi za uhujumu na wapo ndani mpaka leo, kila siku, uchunguzi haujakamilika.

Kutokana na kulelewa na kuaminishwa hivyo, yanadhani kwamba yanaweza kubaka mpaka mbuzi za watu na hakuna wa kuwauliza. Akakalie ndoo ng'ombe huyo!
 
Sikia kwa mwenzio tuuuu, ni kweli TANESCO wanauza nguzo, mimi saveryer kapima mita 80 toka ilipo nguzo hadi kwangu tathmini nguzo mbili sababu ya kona,naambiwa kulipa 454,680/= hapa kweli ni sawa????? Au ndio kusema Luga ya kuuziwa nguzo ndio imebadilika tuuuu. Nipo BUSISI -SENGEREMA (0623856781)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za majukumu ya kitaifa wana jamvi,nawasalimu katika Jina la M/Mungu .
Kuna Jambo silielewi kwa Tanesco mtu anataka umeme ,yupo mbali na nguzo anaambiwa anunue
Unanunua unawekewa umeme,baada ya kuda majirani wanaunganishiwa umeme kwa kutumia nguzo ile ile uliyoilipia!
Huku si kumuumiza mtu aliyenunua hiyo nguzo kwa faida ya Tanesco? Je huyo mtu aliye inunua anafudiwaje kwa wateja wanaounganishiwa ?!
Ningetamani Sana kujua hili,
Alamsiki.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nguzo haziuzwi..


cc TANESCO
 
Hapa unachanganya ndugu.
Kwanza kabisa nguzo haiuzwi elewa hilo. TANESCO wanachofanya ni kukutoza gharama kutokana na umbali. Umbali unapozidi mita 30 lazima kuwe na kitu cha kuwezesha umeme kufika kwako na kitu hicho ni nguzo pamoja na vifaa vingine ambavyo hufungwa kwenye nguzo. Pia kumbuka kuwa waya unaongezeka na unaoongezeka ni wa aina tofauti yaani 50mm2 kutoka nguzo uliyochukulia umeme hadi kwenye nguzo itakayo ingiza umeme kwenye nyumba yako. Nikuulize tu kwamba kama umeeuziwa nguzo je unayo risiti ya nguzo? Jibu hapo ni hapana.

Kuhusiana na wenzako kuchukua umeme kwenye nguzo inayokuhudumia hamuwezi kuchangia gharama kwakuwa nguzo siyo ya kwako bali ni ya TANESCO. Jaribu kufikiri umeme ulipotoka na ukakufikia wewe je ile nguzo ambayo umechukulia umeme na wewe umechangia gharama? Maana ile ni jirani yako alilipa ndio ikafika pale.
Ukitaka kujua nguzo ni ya TANESCO subiri ioze au ianguke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu KONKI hili.....CASE CLOSED.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…