Black Mirror
JF-Expert Member
- Oct 17, 2019
- 919
- 1,192
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
igoma hapa ulikata saa moj ivo ivo mpka ngoma nne ivTulifikiria kuwa tatizo sugu la umeme Mkoani Mwanza sasa basi lakini kwa siku za karibuni yapata majuma mawili sasa tatizo la umeme jijini Mwanza hasa kuanzia saa moja jioni mpaka muda wa saa tatu umeme huwa unakatika karibu kila siku. Tunajiuliza hivi kuna tatizo gani?. Ni vema umeme ukakatika muda wa mchana kulkio kukatika muda wa usiku.
Yaan wamevuluga elimu ili wajinga tuwe wengi, wamehamia kuwaharibu watoto hao walifanikiwa kusoma mbali na mishule yao, yaani kila kona yamebolonga kama machawiKwenye haya mambo, Lumumba wako vizuri aseeee. Hizi ndio sehemu zao za kujidai. Labda kwa mbaali madawa na uraia feki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguzo haziuzwi..Habari za majukumu ya kitaifa wana jamvi,nawasalimu katika Jina la M/Mungu .
Kuna Jambo silielewi kwa Tanesco mtu anataka umeme ,yupo mbali na nguzo anaambiwa anunue
Unanunua unawekewa umeme,baada ya kuda majirani wanaunganishiwa umeme kwa kutumia nguzo ile ile uliyoilipia!
Huku si kumuumiza mtu aliyenunua hiyo nguzo kwa faida ya Tanesco? Je huyo mtu aliye inunua anafudiwaje kwa wateja wanaounganishiwa ?!
Ningetamani Sana kujua hili,
Alamsiki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unachanganya ndugu.Habari za majukumu ya kitaifa wana jamvi,nawasalimu katika Jina la M/Mungu .
Kuna Jambo silielewi kwa Tanesco mtu anataka umeme ,yupo mbali na nguzo anaambiwa anunue
Unanunua unawekewa umeme,baada ya kuda majirani wanaunganishiwa umeme kwa kutumia nguzo ile ile uliyoilipia!
Huku si kumuumiza mtu aliyenunua hiyo nguzo kwa faida ya Tanesco? Je huyo mtu aliye inunua anafudiwaje kwa wateja wanaounganishiwa ?!
Ningetamani Sana kujua hili,
Alamsiki.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu KONKI hili.....CASE CLOSED.Hapa unachanganya ndugu.
Kwanza kabisa nguzo haiuzwi elewa hilo. TANESCO wanachofanya ni kukutoza gharama kutokana na umbali. Umbali unapozidi mita 30 lazima kuwe na kitu cha kuwezesha umeme kufika kwako na kitu hicho ni nguzo pamoja na vifaa vingine ambavyo hufungwa kwenye nguzo. Pia kumbuka kuwa waya unaongezeka na unaoongezeka ni wa aina tofauti yaani 50mm2 kutoka nguzo uliyochukulia umeme hadi kwenye nguzo itakayo ingiza umeme kwenye nyumba yako. Nikuulize tu kwamba kama umeeuziwa nguzo je unayo risiti ya nguzo? Jibu hapo ni hapana.
Kuhusiana na wenzako kuchukua umeme kwenye nguzo inayokuhudumia hamuwezi kuchangia gharama kwakuwa nguzo siyo ya kwako bali ni ya TANESCO. Jaribu kufikiri umeme ulipotoka na ukakufikia wewe je ile nguzo ambayo umechukulia umeme na wewe umechangia gharama? Maana ile ni jirani yako alilipa ndio ikafika pale.
Ukitaka kujua nguzo ni ya TANESCO subiri ioze au ianguke.
Sent using Jamii Forums mobile app