Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Hapa tunatumia fake IDs namba za simu za nn! Mimi Niko Mwanza namba za simu sinaNdugu mpendwa mteja wetu tafadhali tujulishi ni eneo gani wilaya na namba yako ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mpendwa mteja wetu tafadhali tujulishi ni eneo gani wilaya na namba yako ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu ni balaa..Halafu linakuja limtu eti tupigie kura tanesco kwa ubora mxiiiwww zenu
Siku nzima hakuna umeme si mchana si usiku
Hapa tunatumia fake IDs namba za simu za nn! Mimi Niko Mwanza namba za simu sina
Kule kwenye page yao kutwa kuomba radhi lakini cha ajabu hakuna unafuu..wanatutia hasara sana hawaNamba ya simu ya nini nyie acheni ujinga. Mnaboa sana.
Siku nzima mchana kutwa hakuna umeme,mmerudisha jion hata nusu saa haijapita mmekata tena
Kule kwenye page yao kutwa kuomba radhi lakini cha ajabu hakuna unafuu..wanatutia hasara sana hawa
Kwakweli its too much sasa, mtatuunguzia vitu kwa mtindo huu.Ndugu mpendwa mteja wetu tafadhali tujulishi ni eneo gani wilaya na namba yako ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kubwa.. sehemu kubwa ya nchi wana tatizo hili tatizo wahusika wanatoa majibu mepesi..Tanesco mnaficha nini mimi nipo Arusha muda huu maeneo ya Sakin hakuna umeme n imekuwa kama kautaratibu kila siku mnakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani jana ilikuwa Kama taa za krismasi inazima inawaka inazima inawakaHapa tunatumia fake IDs namba za simu za nn! Mimi Niko Mwanza namba za simu sina
Ndugu mpendwa mteja wetu tafadhali tujulishi ni eneo gani wilaya na namba yako ya simu
Sent using Jamii Forums mobile app