TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Halafu linakuja limtu eti tupigie kura tanesco kwa ubora mxiiiwww zenu

Siku nzima hakuna umeme si mchana si usiku
 
Hivi ni kweli mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi Kuna Grid ya umeme ya Taifa wajuvi mnijuze
 
Wanakata umeme kwa kuwa kuna corona...wanaogopa watu kuambukizana...
 
Hii ni siku ya nne sasa wanafanya mchezo huuhuu huku wanakata kuanzia saa 3 mpk 11 jioni yaani usiponyoosha mapema utavaa tshirt wiki nzima

Halafu excuse ya mvua ni kichaka cha kujifichia tu mbona jioni mnarudisha itakuwa kuna shida nyingine hamtaki kuiweka wazi
 
Nina swali dogo

Endapo ule waya wa kile cha kuwekea umeme (Customer Interface Unit) umeharibika au umepotea, spare zake zinapatikana kwenye maduka yapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza wamekata toka saa kumi na moja na nusu jioni leo mpaka sasa bila bila... This is boring jamani
 
Back
Top Bottom