Mwanza kila siku jioni wanarudisha usiku kabisa au siku zingine mpaka kesho yake
 
Na leo ni tarehe 19 umeme haupo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza buzuruga nipo hapa leo ni siku ya 3, ukifika saa moja moja jioni umeme unakatwa. Hata idara ya maji nao yale yale juzi ilipita siku nzima bila maji
 
Hivi, mbona maswali yetu hamjibu? Naona mnachagua majibu ya jumla jumla tu, kiasi kwamba, inakuwa hamtusaidii kuwepo kwenu hapa JF!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco hamjambo. Nawashangaa sana
Mnae waziri wa nishati
Mnae mkurugenzi mkuu
Mnao mameneja wa mikoa
Mnazo pesa nyingi tu maana malipo yenu ni prepaid.
Mnao mafundi nakama hawatoshi kuna ma engineer na ma technician wengi tu mtaani wanaotafuta kazi.
Mnavyo vitendea kazi na input kama ma transformer, waya nk.
Sasa kwanini huku Kongowe, Veta, Kibaha tangu jana usiku saa tatu mpaka leo saa mbili usiku kulikua hakuna UMEME?
What was the problem????
Nahisi Nyie ni watu wazima, msisubiri kuumbuliwa mbele ya wake zenu kama alivyofanywa waziri mmoja hivi majuzi tena barabarani
 
Ndugu mpendwa mteja wetu tafadhali tujulishi ni eneo gani wilaya na namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbeya

Zaidi ya wiki sasa kila siku kati ya saa 11 jion mpaka saa nne usiku, nikukatika umeme

Hata muda huu niandikapo nisaa tatu maeneo ya uyole, Isyesye, ilomba nk hakuna umeme sasa hivi ni saa tatu na dk 22

Mbeya ni tatizo kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…