*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*
*Machi 18, 2020*
*TAARIFA YA KUKATIKA UMEME KATIKA BAADHI YA MIKOA KUTOKANA NA HITILAFU KWENYE MFUMO WA UMEME
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaomba radhi kwa Wateja wake wa baadhi ya mikoa kutokana hitilafu iliyosababishwa na mvua kubwa zinazo endelea katika maeneo mengi ya nchi na kupelekea kuathiri baadhi ya miundombinu ya umeme.
Leo tarehe 18.03.2020 kati ya saa 12 na dakika 36 mpaka saa 4 na dk15 mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya kati, Kanda ya ziwa, Kanda ya Magharibi na kanda ya kaskazini ilikosa umeme
*Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.*
Tovuti:
www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
Tanesco Yetu
Twitter,
www.twitter.com/tanescoyetu,
Instagram: tanesco_official_page
YouTube: tanescoyetu
Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
TANESCO Makao Makuu| 0768985100|
customer.service@tanesco.co.tz