Habari ya Arusha!

 
Karibuni sana JF
Tanesco Arsha sasa mmekuwa kero.
Tangu wiki hii imeanza eneo la. Mbauda hadi Morombo umeme una katikabbila taarifa. Sinasubuhi si mchana au jioni. Hivi sasa ninavyo ongea ninsaa moja n dakika arobaini na tano jioni. Hatuna umeme..
Hivi maji yamepungua au??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco kyela kama vipi muanze kuhamasisha wananchi kutumia vyanzo mbadala badala ya kutumia umeme wenu unao wasababishia hasara. Hii itakuwa dhana bora ya kuwaangaza wanakyela kuliko giza Totoro linaloikumba kyela kila siku.umeme kuwaka masaa mawili per day Ni kufeli kwa kazi yenu
 
Kwanini umeme wa REA kisarawe karibu na Kibaha mmeishia kusimamisha nguzo tu kwenye barabara kuu na wala hamjasambaza nguzo kwa wateja walengwa wa huo mradi?/Au tunapigwa changa la macho kufanyia kampeini? Tunataka umeme sio kutusimamishia manguzo barabara kuu tu!
 
kwa takribani wiki moja na nusu sasa wakazi wa Arusha Hasa hasa kuanzia sakina,mianzini na Ngaramtoni kumekua na tatizo la umeme kukatika KILA SIKU kuanzia saa kumi na moja jioni na kurudishwa saa nne usiku , je ni mgao au ni nini. Mtujulishe tujue maana ni KERO mtu unatoka kazin unahitaj upumzike unakutana na giza tunapitwa na taarifa za habari etc kama ni mgao mbona haya mambo tuliyaacha awamu ya nne imekuaje tena ????
 
Utaambiwa maji yamejaa kule moro kwny maporomoko.

Kipindi cha ukame tena utaambiwa mgao upo sababu hakuna maji ya kutosha.

Ndio maisha yetu hayo.
 
Haha
Wanaboa mno, tatizo hata Njiro lipo ila sie tuliwaita wakatubadilishia line. Sisi ile line ilikuwa kila asubuhi lazima ukatike, na jumamosi haupo siku karibu nzima
 
Hata baadhi ya maeneo ya Mwanza hali ni hiyohiyo tatizo hawatoi hata taarifa sasa sijui ni dharura au nini ila karibu kila sikundani ya week hii umeme hukatika. Kwa kweli inakera sana haya mambo tulishaanza kuyasahau ndani ya awamu hii ya tano.
 
Hata huku Mwanza baadhi ya maeneo tayari wameisha ukata. Na sielewi kwa nini umeme unaendelea kujatika, wakati jana waziri wa nishati na madini aliwaambia mameneja wote wa tanesco Tanzania nzima, kwamba hawatakikiwi kukata umeme kwa kisingizio cha Mvua. Ila naona wanapingana naye. Sasa sijui hadi atumbuliwe mtu ndo Akili ziwakae sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangazeni MGAO WA UMEME KWA DAR , zamani mlikuwa wakweli, sasa mmejaa hofu tupu, mgao mnashindwa kuutangaza wakati mnakata umeme kila siku,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…