Hapa Ubungo Kibangu umeme umekatika kuanzia jana asubuhi, mpaka sasa haujarudi. Lakini maeneo ya jirani upo kama kawaida. Je shida ni nini hapa? Au kuna hitilafu? Au ni hila tuu mnatufanyia?
0769021064

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Ubungo Kibangu umeme umekatika kuanzia jana asubuhi, mpaka sasa haujarudi. Lakini maeneo ya jirani upo kama kawaida. Je shida ni nini hapa? Au kuna hitilafu? Au ni hila tuu mnatufanyia?
0769021064

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wapendwa wateja wetu

Tunawaomba radhi sana kwa adha ya kuchelewa kupata huduma ya umeme

Tatizo
Transfoma letu la 11 Kv liliharibika maeneo hayo hivyo wataalamu wetu wamepambana mpaka majira na usiku wa kumkia leo ( saa nne usiku) kutatua tatizo kwa kubadilisha transfoma, kuifanyia majarabia kitaalamu na kuipa muda wa uangalizi ndio iwashe

Tunaomba radhi sana kwenye wapendwa wateja wetu, Shirika litaendelea kuboresha huduma ili kuhakilisha mnapata huduma bora muda wowote

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashukuru kwa taarifa pendwa mteja wetu

Tafadhali tusaidie taarifa kamili kwa huduma bora

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Namba ya taarifa

Unaweza kutuma taarifa hata inbox

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashukuru kwa taarifa pendwa mteja wetu

Tafadhali tusaidie taarifa kamili kwa huduma bora

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Namba ya taarifa

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashukuru kwa taarifa pendwa mteja wetu

Tafadhali tusaidie taarifa kamili kwa huduma bora

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Namba ya taarifa

TANESCO HUDUMA KWA WATEJA

MAKAO MAKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunalifatilia kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah Hutu Dada aneyehudumia tanesko chato anadharau sana,ukiwa unahitaji shida ya kiufundi anakwambia hawezi kutuma fundi anaweza akafa kwa umeme

sasa mafundi si wapo kuhudumia au kuogopa umeme?
 
mim nakaa mkoa wa Tanga maeneo ya korogwe vijijini sehemu moja wanapaita magoma, aisee tumehama mpaka sasa hamjatuwekea umeme ni musa kila ukipiga simu wanasema wiki ijayo mpaka tumechoka.
naombeni msaada wenu.
0673824243
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashukuru jwa taarifa tunaifatilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwenu Tanesco.

Niliandika humu matatizo yangu kwenu, kwa uharaka ulio tukuka nimepata huduma.

Niko safari Ifakara, lkn nimeteleza kile ambacho nimetakiwa kufanya inshaallah jtatu, ntamtuma kijana awasilishe risiti za malipo ofisi ya Tanesco Mkuranga kwa hatua zao zaidi.

Hongera Tanesco,
 
Jana nimeingiza luku ila chakushangaza umeme hauwaki, natumia mita za ukutani inaanza na namba 0132... naomba msaada tafadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…