Mkoa- kigoma
Wilaya - kigoma
Kijiji - bitale/Bweru
Tatizo - umeme upita tu.kama vile pale hakuna wakazi wanaoishi wakt kuna wakt na watu wamejenga nyumba zao za garama kubwa na kisasa.
Umeme umewashwa kijiji cha nyuma (kiganza) na kijiji cha mbele (bitale juu)
Kitu chaajabu - umeme umepelekwa sehemu yenye wakazi wa chache tena walioko mbali na main road kwa kusema eti umefuata wafanya kazi wa shirika husika.syani tanesco sehem izo ni (kijtongoji cha mlege juu na bolelo) umeme umekwenda kisa umefuata fundi tanesco.
Nb.sisi wakazi wa Bweru kariakoo hatustairi kupata huduma ya umeme huo.maana tupo main road na nguvu za Ht zimepita pembeni mwa nyumba zetu.
(Jock.mmepitisha ili tuanikie nguo au)@
Sent using
Jamii Forums mobile app