Tanesco Naomba msaada nyumba ninayoishi wiring yake ni ya zamani nikaamua kuita fundi wa umeme aje kuangalia akaniambia kua natakiwa kubadili Main switch pamoja na kueka earth wire nimeshindwa kufanya maamuzi yoyote kwani sijui maswala ya umeme nahitaji ushauri kutoka kwenu je nije tanesco mnipatie expert wenu aje kuangalia naogopa kutumia fundi wa mtaani maana wiring ni ya zaman pasije kutokea hitilafu
Chukua form tukipimie na kukupatia gharama halisi tafadhaliTaneaco naomba kuuliza service charge ya kuunganishiwa umeme umbali wa 110m kutoka kwenye nguzo mpaka kwenye Nyumba?,nawasilisha
Tafadhali tumia wakandarasi waliobandikwa kwenye ofisi zetu au kwenye ofisi zao ambao wamesajiliwa na EWURATanesco Naomba msaada nyumba ninayoishi wiring yake ni ya zamani nikaamua kuita fundi wa umeme aje kuangalia akaniambia kua natakiwa kubadili Main switch pamoja na kueka earth wire nimeshindwa kufanya maamuzi yoyote kwani sijui maswala ya umeme nahitaji ushauri kutoka kwenu je nije tanesco mnipatie expert wenu aje kuangalia naogopa kutumia fundi wa mtaani maana wiring ni ya zaman pasije kutokea hitilafu
Unaposema ya zamani unamanisha? Kwani kuna wiring ya kisasa na ya kizamani?
Hapo itabidi uungwe kwenye zero tarrifMita yangu nikinunua umeme wa Tsh 5000/= napata unit 14.10 wakati matumizi yangu ni ya kawaida hayafiki unit 75 kwa mwezi.Mita namba 01342437116.Asante naomba msaada wenu.
Sawa sasa naungwaje taratibu zake ni zipi?Hapo itabidi uungwe kwenye zero tarrif
Cheki na Tanesco customer care waliopo wilayani kwakoSawa sasa naungwaje taratibu zake ni zipi?
AiwaNilidhan daktari wa meno karudi. Ni redio gani