TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Taneaco naomba kuuliza service charge ya kuunganishiwa umeme umbali wa 110m kutoka kwenye nguzo mpaka kwenye Nyumba?,nawasilisha
 
Tanesco Naomba msaada nyumba ninayoishi wiring yake ni ya zamani nikaamua kuita fundi wa umeme aje kuangalia akaniambia kua natakiwa kubadili Main switch pamoja na kueka earth wire nimeshindwa kufanya maamuzi yoyote kwani sijui maswala ya umeme nahitaji ushauri kutoka kwenu je nije tanesco mnipatie expert wenu aje kuangalia naogopa kutumia fundi wa mtaani maana wiring ni ya zaman pasije kutokea hitilafu
 
Unaposema ya zamani unamanisha? Kwani kuna wiring ya kisasa na ya kizamani?
 
Tanesco Naomba msaada nyumba ninayoishi wiring yake ni ya zamani nikaamua kuita fundi wa umeme aje kuangalia akaniambia kua natakiwa kubadili Main switch pamoja na kueka earth wire nimeshindwa kufanya maamuzi yoyote kwani sijui maswala ya umeme nahitaji ushauri kutoka kwenu je nije tanesco mnipatie expert wenu aje kuangalia naogopa kutumia fundi wa mtaani maana wiring ni ya zaman pasije kutokea hitilafu
Tafadhali tumia wakandarasi waliobandikwa kwenye ofisi zetu au kwenye ofisi zao ambao wamesajiliwa na EWURA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mita yangu nikinunua umeme wa Tsh 5000/= napata unit 14.10 wakati matumizi yangu ni ya kawaida hayafiki unit 75 kwa mwezi.Mita namba 01342437116.Asante naomba msaada wenu.
 
Ni kama wiki mbili sasa kuna tatizo kubwa sana la kukatika umeme na kurudi muda huo huo.
TANESCO kwanini.

Kila inapofika jioni umeme unakata na kurudi? wakaazi wa wilaya ya Temeke hasa Mbagala watakuwa mashuhuda wangu,umeme unakatika kisha unarud baada ya kama dk 2 au3.

Jana umekatika ukarudi afuvukakata tena kisha ukarudi moja kwa moja ndio ukaunguza radio yangu.
Naombeni ushauri kama naweza kuchukua hatua.
 
Nilidhan daktari wa meno karudi. Ni redio gani
 
Wapuuzi sana ..... Hapa Moshi Kuna wakati walikata wakarudisha umeme mkubwa balaa..... Mtaa mzima::.....friji,TV ,subwoofer, deki,ving'amuzi........chochote Kati ya hivyo kilichokuwa on kililia mzinga......

Inatakiwa Serikali iruhusu makampuni binafsi kuanza kutoa huduma equivalent na Tanesco but under STRICT SUPERVISION Kwasababu naelewa umeme Ni issue ya Usalama wa Taifa.......
 
Back
Top Bottom