Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Halafu bado mnasema mtu aendelee kuongoza miaka kumi mingine huu ni uwendawazimu
[emoji23] ndio mana nimetoa taarifa pengine mwenye nchi ataona hii thread, mi namjubali mzee baba anawajibisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu bado mnasema mtu aendelee kuongoza miaka kumi mingine huu ni uwendawazimu
[emoji1787][emoji1787] *TANZIA*
Tafadhali onyedha taarifa kamili zaMbagala kuu tamesco wawajibishwe
Kiukweli nasikitikq sana kuleta malalamiko yangu hapa kwani kwa siku huku mbagala kuu umeme unazimwa mara 10 kwa siku tumepiga simu tanesco wamesema watarekebisha ilq kiukwwli wanatukwaza sana mana ni miezi sita sasa watafanyia huu upuuzi hasa usiku
Tafadhali onyedha taarifa kamili za
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Wengi au mwenyewe
Toka.saa ngapi
Tuma hata inbox kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Je umewahi kutoa taarifa ofisi zetu za mbagala kama ndio tusaidie namba ya taarifa uliyopatiwaEneo la mbagala kuu
Wilaya ya temeke
0762987034
Tatizo la kukatika umeme mara kwa maravkwa siku mara 10
Wengi sanna ntumba zaid ya 200
Hii ni miezi sita tatizo hili limeanza
Je umewahi kutoa taarifa ofisi zetu za mbagala kama ndio tusaidie namba ya taarifa uliyopatiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maendeleo gani mnayoyapata kupitia umeme hapo mbagala?
We subiri umalizie kuangalia hiyo Pilau.
Me nipo hapa maeneo ya Kizuiani leo washakata zaidi ya mara 10
Tutawasiliana na weww tunaimani utapatiwa huduma stahiki.Nishapiga sanna simu wanasema wanashughulikia tatizo
Njoo Masebuka hapa upate BalimiNipo karibu na ww nafkiri tuna tupo mtaa mmoja [emoji23]
Njoo Masebuka hapa upate Balimi
Njoo Masebuka hapa upate Balimi
Tafadhali onyesha namba ya mita tarehe uliyonunua na kiasi ulichonunuaNimepoteza token #,naomba msaada jinsi ya kuzipata upya *152*00# naona hakuna option ya luku
Token ni24218546091 ni 29/05/20 wa 1000 nimenunua Mara 2 ....huuu umegoma
Ahsante kwa taarifaEneo: Chini ya Mwatulole Secondary Mpakani na Mwabasabi.
Kata: Buhalahala
Wilaya :Geita Mjini.
Mkoa: Geita
Tatizo: Ukosefu wa miundombinu ya Umeme (Nguzo 15) katika eneo hili.
Taarifa ya Tatizo: Tupo wakazi zaidi ya 100 kwenye eneo hili la chini ya mwatulole secondary hatuna Umeme kwa kipindi kirefu na tumeshindwa kuvuta umeme maana kila tukienda tanesco, idadi ya nguzo ili kuweza kumfikia mwananchi mmoja ni zaidi ya mbili, hivyo tunaambiwa huo ni mradi, na Bajeti yake haipo.
Sasa tunaomba Msaada wa Nguzo 15 ambazo zikisambazwa katika eneo hili zitakuwa zimetoa mwanya kwa sie wanachi kuvuta umeme kwa wepesi zaidi.
Eneo letu lipo mpakani mwa kata mbili yaani Nyankumbu na Buhalahala. Pia ni mpaka wa mtaa wa mwatulole na mwabasabi.
Mtaa wa mwabasabi uliopo kata ya Nyankumbu wao wana mradi wa REA unoendelea chini ya mkandarasi White /New City.
Hali hii inapelekea eneo hili kuonekana kama vile ni kijijini ili hali ni mjini.
Ushauri wangu: Ikiwa bajeti ya upatkanaji wa nguzo tunazoomba haipo ,
Tunaomba basi zile nguzo za HT (High tension ) zenye urefu wa 14M ambazo huwa zinaoza chini , Tufungiwe hizo baada ya kuwa zimekatwa kwa 5M na kubakiwa 9M ili tuanze kutumia kisha tutakuwa tukibadirsha kulingana na zinapopatikana.
Mawasiliano: 0787 537 570.
Kazi njema
Sent using Tecno Sufuria