Utaratibu ni kama utaratibu wa kuomba umeme kawaida tafadhali fuatilia thread yetu ya jinsi ya kuomba umemeUmeme wa REA kwa Kilimanjaro utaratibu wa kuunganishiwa upo vipi mkuu?
Huu umeme wa REA na wa TANESCO una tofauti gani in terms of cost, naomba kueleweshwaUtaratibu ni kama utaratibu wa kuomba umeme kawaida tafadhali fuatilia thread yetu ya jinsi ya kuomba umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maajabu kabisa,tanesco tanesco,,nahisi kuomba kurudishiwa hela yangu,,,mwezi Wa NNE mpaka leo hakuna dalili,,nishaenda Mara mbili kuulizia naambia nisubiri,,tutafika kweliiTanesco Mimi n lilipia kuunganishwa umeme pamoja na nguzo mwezi Wa NNE,,mpaka sawa Hawajaniunganishia NINI tatizo
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Ndugu mpendwa mtejaMkuu Tanesco Kwanini kuunganishiwa umeme Kyela mjini inachukua hata mwaka mzima tangu mteja anapolipia ?
Na mnafahamu kwamba bei ya umeme wa REA kwenye vijiji vya KYELA inafika hata laki 3 kinyume kabisa na ile elfu 27 mnayoitangaza ?
Je malalamiko ya wananchi hamyasikii au ni kweli kwamba Mmefirisika kama wanakyela wote wanavyoamini ?
Mwisho naomba kufahamu jina la Meneja wa Tanesco kyela ili NITUMIE NGUVU YA UMMA KUMNG'OA MAANA NINAO USHAHIDI KWAMBA AMESHINDWA KAZI.
Mkuu hii jf hatuwezi kuweka vitu vyote hivi unavyovitaka kwa sababu za kiusalama , lakini nakuhakikishia kwamba hili nililiandika ni kweli na malipo ya watu wa kyela mjini yanafanyika Tanesco kyela si kwa dalali wala mtu yeyote yule .Ndugu mpendwa mteja
Tunaomba taarifa haswa ya lalamiko lako kwa kuonyesha jina uliloombea umeme, kiasi ulicholipa TANESCO na risti zako ili kukupatia ufafanuzi kwani wapo wateja wanaifanya malipo kwa makandarasi binafsi au watu wanaojifanya ni wa wetu kisha kutupia lawama shirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu lakni unaweza kutuma message inbox kwenye account ya TANESCO kama baadhi ya taarifa ni nyeti sanaMkuu hii jf hatuwezi kuweka vitu vyote hivi unavyovitaka kwa sababu za kiusalama , lakini nakuhakikishia kwamba hili nililiandika ni kweli na malipo ya watu wa kyela mjini yanafanyika Tanesco kyela si kwa dalali wala mtu yeyote yule .
Hebu jaribu kuyafanyia kazi malalamiko haya badala ya kujibu kirahisi namna hii mjomba , kama umeweka utaratibu huu ni vema ukajibu hoja zetu kitafiti kidogo basi .
.Nimelipia nguzo toka mwezi wa pili lakini mpaka Leo sijapatiwa uduma. wilaya ni kigamboni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa- kigomaPole mteja zinapatikana muda wote, pia tupo katika mitandao ya kijamii
Tunaomba namba yako ya simuMkoa- kigoma
Wilaya - kigoma
Kijiji - bitale/Bweru
Tatizo - umeme upita tu.kama vile pale hakuna wakazi wanaoishi wakt kuna wakt na watu wamejenga nyumba zao za garama kubwa na kisasa.
Umeme umewashwa kijiji cha nyuma (kiganza) na kijiji cha mbele (bitale juu)
Kitu chaajabu - umeme umepelekwa sehemu yenye wakazi wa chache tena walioko mbali na main road kwa kusema eti umefuata wafanya kazi wa shirika husika.syani tanesco sehem izo ni (kijtongoji cha mlege juu na bolelo) umeme umekwenda kisa umefuata fundi tanesco.
Nb.sisi wakazi wa Bweru kariakoo hatustairi kupata huduma ya umeme huo.maana tupo main road na nguvu za Ht zimepita pembeni mwa nyumba zetu.
(Jock.mmepitisha ili tuanikie nguo au)@
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalimie familia ya Mzee Kifisi hapo,nimemiss mise na maweseMkoa- kigoma
Wilaya - kigoma
Kijiji - bitale/Bweru
Tatizo - umeme upita tu.kama vile pale hakuna wakazi wanaoishi wakt kuna wakt na watu wamejenga nyumba zao za garama kubwa na kisasa.
Umeme umewashwa kijiji cha nyuma (kiganza) na kijiji cha mbele (bitale juu)
Kitu chaajabu - umeme umepelekwa sehemu yenye wakazi wa chache tena walioko mbali na main road kwa kusema eti umefuata wafanya kazi wa shirika husika.syani tanesco sehem izo ni (kijtongoji cha mlege juu na bolelo) umeme umekwenda kisa umefuata fundi tanesco.
Nb.sisi wakazi wa Bweru kariakoo hatustairi kupata huduma ya umeme huo.maana tupo main road na nguvu za Ht zimepita pembeni mwa nyumba zetu.
(Jock.mmepitisha ili tuanikie nguo au)@
Sent using Jamii Forums mobile app
Bitale hapo msalimie Hasheem muuza MafutaMara ya kwanza tulibiwa na watu waliojifanya mawakala.ambao walisema watatuingizia umeme na kutufanyia wire - ring tukalipa na garama. Lkn haikuwa ivo.ikabidi tufanye wenyewe kwa garama zetu uku tukiwa tunahaidiwa umeme next month .Leo hii ni mwaka sasa umeme umepita na tunaenda kuchaji vitochi vyetu kijiji cha jirani.au twende bitale juu.ambapo ni mbali kuliko kwenda kijiji cha jirani. Msaada wenu ni muhimu sana.nimeweh fika tanesco kigoma nilipewa majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app