Naandika kwa masikitiko sana nashindwa kuelewa sisi wakazi wa Ubungo tumewafanyia nini maana hii ni too much
Umeme unakatika hata masaa 5 mnarudisha lisaa limoja huu mchezo unatukera kweli
Na waathirika wakubwa ni sisi wakazi wa Ubungo na mbezi toka juzi ni sarakasi tu umeme unakatika tu masaa kibao
Hamuoni mateso tunayoyapata?Kama sahz hapa tupo gizani yaani hata kucheki movie tunashindwa kuenjoy, tunashindwa hata kutumia friji na vifaa vyote vya umeme kwasababu mnakua mmekata
Haya mateso hadi lini?na wakati sisi ndo tulitakiwa tuwe na umeme wa uhakika maana mitambo ya umeme ya Ubungo power plant ndo tupo nayo hapa hili sio fair kabisa
Kibangu yote ni giza tu muda huu.