toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Hata mm nimenote hicho kitu
Umeme ukikatika na internet ya ttcl inapotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme ukikatika na internet ya ttcl inapotea
ttcl bana.inamaana kaka yake tanesko asipokuwepo na yeye anasusa[emoji23]
yaani we acha tu bwashee.Hao wote ndugu baba yao ni mmoja.. mkali ila watoto wake wote hawamsikilizi
Hata huku nilipo hakuna
Mkuu inafikia wakati mtu unaichukia tz. umeme toka jana unakatika katika! leo asubuhi wengine tumeenda ofisini bila kunyosha nguo! Dah!Tayari washakata umeme sahizi ni giza tupu
Sijui tatizo ninini
Vipi tujuzane maeneo uliyopo hapa Dar kuna umeme?Au ni huku ubungo tu?
24/360 vipi!Poleni huku kwetu upo 24/7
Bado maji, yalikatika jana asubuhiWasharudisha wamerudisha saa 3 na nusu
Bado maji, yalikatika jana asubuhi
Hii Kampuni ilitakiwa Ifutwe kabisa yaani wanafanya kazi kimazoea kwakuwa wapo peke yao! Hawa wangepata mshindani mwenzao wangetia akili ,waoneni TTCL wanavyopumulia mashine hakuna mtu mwenye time nao! ilitakiwa ianzishwe kampuni nyingine yenye kuzalisha na kusambaza umeme ije kupambana NAO hao WAPUUZI.Tanesco mkolani nimebakiza siku tatu nikawashitaki mwa Mkurugenzi wenu au kwa waziri. Nimelupia kila kitu mwezi wa tano na sasa ni mwezi wa saba hakuna umeme. Mnataka kufuatwa fuatwa wakati mnafanya biashara. Subirini kuanzia kesho msinilaumu