TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini
Mbona tukiweka hizo details zetu bado hakuna jipya.... Mnatupigia simu basi imetosha. Huu Sasa ni mwezi wa nne tangu tulipe, jamani tuna huo umeme
 
Jamani Tanesco kuanzia mmekagua kuweka umeme inachukua siku ngapi mtu kuwekewa umeme kama ameshalipia zaidi ya siku 14 nini kinatakiwa kufanyika sasa
 
Pumzika kwa Amani Raisi Mstaafu
IMG-20200724-WA0057.jpg
 
Jamani Tanesco kuanzia mmekagua kuweka umeme inachukua siku ngapi mtu kuwekewa umeme kama ameshalipia zaidi ya siku 14 nini kinatakiwa kufanyika sasa
Umelipia shilingi ngapi ndugu mteja
 
Tunaomba msaada Tanesko, kuna mwana Jf anauza mita ya kutenganisha matumizi ya umeme je imethibitishwa kwa matumizi ya kawaida, ninachomaaisha matumizi yake ni sawa na mita zenu kwa upande wa uniti?
 
Tunaomba msaada Tanesko, kuna mwana Jf anauza mita ya kutenganisha matumizi ya umeme je imethibitishwa kwa matumizi ya kawaida, ninachomaaisha matumizi yake ni sawa na mita zenu kwa upande wa uniti?
Kifaa chochote kinachofungwa baada ya mita kwenda ndani ni mali ya mteja hivyo kama haikugusi mita kwenda nche hakihusiani na TANESCO
 
Kifaa chochote kinachofungwa baada ya mita kwenda ndani ni mali ya mteja hivyo kama haikugusi mita kwenda nche hakihusiani na TANESCO

sawa lakini kifaa kinasadikika kinatoa huduma ambayo kinaendana sawa na mita zenu

Nawasilisha
 
shs 27,000 ndio tulioambiwa tulipia wilaya ya Hanang Tanesco
Mbona hamjanijibu jamani kuwekewa umeme baada ya kulipia inachukua siku ngapi .Hakuna nguzo inahitajika.Jamani wilaya ya Hanag Tanesco nisaidieni jamani huyu mama wapate umeme huko kijijini
 
Hivi ni haki kweli kusubiri umeme miezi 5 tangu nilipofanya malipo? Ajabu Kuna baadhi ya watu nawajua wamelipia mwezi wa 5 na 6 wamepata umeme tayari. Je mnataka nitoe rushwa ili nipate hakiyangu ya umeme?
Richard Mbowe
Ilala
Chanika
Malipo kiasi sh 516,000
15/3)2020.
Mobile 0755446868
 
Mbona hamjanijibu mimi wa mwenge mlalakuwa au mpaka nyumba iungue ndo mje mbio
 
Mbona hamjanijibu jamani kuwekewa umeme baada ya kulipia inachukua siku ngapi .Hakuna nguzo inahitajika.Jamani wilaya ya Hanag Tanesco nisaidieni jamani huyu mama wapate umeme huko kijijini
Mbona kimya Tanesco Hanang au tunatakiwa tufanyeje kwani .Tusubiri siku ngapi mpaka waje kuweka umeme.
 
Mbona kimya Tanesco Hanang au tunatakiwa tufanyeje kwani .Tusubiri siku ngapi mpaka waje kuweka umeme.
Wapo msibani, wanajitapa wanapiga kazi halafu ujanja ujanja mwingi, mimi pia nimelipia mda halafu wanasema hakuna waya, sasa wanajitapa nini kwamba wanapiga kazi? Wizi wizi tu
 
Hivi ni haki kweli kusubiri umeme miezi 5 tangu nilipofanya malipo? Ajabu Kuna baadhi ya watu nawajua wamelipia mwezi wa 5 na 6 wamepata umeme tayari. Je mnataka nitoe rushwa ili nipate hakiyangu ya umeme?
Richard Mbowe
Ilala
Chanika
Malipo kiasi sh 516,000
15/3)2020.
Mobile 0755446868
Asante kwa taarifa tumeipokea kwa hatua zaidi
 
jamani tanesco muoneeni huruma huyu mama umeme unamsumbua nyumbani kwake sijui luku inafanya nini amejaribu kuwatafuta mnasema mnakuja wala hamju
 
Sielewi matusi huwa yanawasaidia nini kwenye shughuli zao
images (7).jpg
 
Attachments

  • images (7).jpg
    images (7).jpg
    51.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom