TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Nilivoona hiyo nguzo apo chini nikakumbuka yale matusi spesheli kwa ajili ya kuinua nguzo..
Hheudhd
Heisiiwjhs
Usvdgdhd
Hshuwuuw
Hsuduiakna
Pqqpq
Onamd
Iqosu
Iqidb
Bdaaj
Ciwtvd
Ksebci
 
Unaongea kitu ambacho hukijui mkuu...Mtafute mmojawapo umuulize kwa huwa inakuwa hvyo...

Utapata tuu majibu...
 
Kutokana na uzito wa hizo nnguzo huwa wanatumia nyimbo za matusi kama njia Mbadala ya kuwapa molari
nilicheka sana walpokuja kunyanyua n guzo mtaani wameimba nyimbo zao mpaka n guzo imesimaama alafu akaskika mmoja kati yao anawashauli wenzake nanukuu "k***make kama mambo yenyewe ndo haya bora uolewe
 
Machimbo,Jeshini,Makuri matusi ni jambo la kawaida sana,na ni sehemu ya maisha
 
DAIMA TUTAKUKUMBUKA
IMG_20200727_222943_459.jpg
 
Kuna mtu huku kafungiwa mita kutokana na umeme wa Rea zile unit kumi zimeisha akitaka kununua anaambiwa mita haitambuliki[emoji26] na umeme umemuishia. Mnamsidiaje hapo?
 
Kuna mtu huku kafungiwa mita kutokana na umeme wa Rea zile unit kumi zimeisha akitaka kununua anaambiwa mita haitambuliki[emoji26] na umeme umemuishia. Mnamsidiaje hapo?
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali namba ya mita na amefungiwa lini.je alitia taarufa ofisi ya eneo lake
 
Hivi nyie Tanesco vip mbona hamueleweki, yaani kwanini mnakuwa wabaguzi kiasi hicho kwenye kutoa umeme haswa mirad ya REA?
 
Back
Top Bottom