TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Umeme ubungo maziwa hadi riverside hakuna umeme tatizo ni nini?
 
Ndugu mteja,
Screenshot_20200804-163938_Twitter.jpg
IMG_20200804_082434_187.jpg
 
Juzi nimenunua unit 140. Inaelekea mita ilikuwa inasoma 0 kwa siku kadhaa. Baada ya kuweka ilisoma unit 120.

Nauliza kama inawezekana mita kutozima wakati units zimeisha ili ije ikate baada ya kuweka upya?
 
Je ilipokuwa inasoma 0 umeme uliendelea kuwaka?
 
Juzi nimenunua unit 140. Inaelekea mita ilikuwa inasoma 0 kwa siku kadhaa. Baada ya kuweka ilisoma unit 120.

Nauliza kama inawezekana mita kutozima wakati units zimeisha ili ije ikate baada ya kuweka upya?
Hapana mpendwa mteja wetu
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka.lini
Nilisha waeleza mara kibao na simu mlishanipigia na mkaahidi kushughulikia hili suala. Suala ni kwamba kitongoji chetu kinaitwa KIJUKA kiko katika kijiji cha Mabuye kata ya Kassambya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Tatizo ni kwamba kitongoji chetu kilirukwa katika kupatiwa huduma ya Rea mbali na kwamba hiki kitongoji kina uhitaji mkubwa sana wa umeme. Kibaya zaidi ni kwamba tuliwa kukaa kikao na viongozi wa Tanesco wilaya kama kijiji, tuliambiwa kijiji chetu kimepewa transfoma 4, ambazo zitawekwa kwenye vitongoji vya Mabuye, Kijuka, Ruhama na Itala. Vitongoji vitatu yaani Ruhama, Itala na Mabuye tayari walipata lakini kitongoji cha KIJUKA hatukupata na ile transfoma tuliyo ambiwa ni ya kitongoji cha KIJUKA hatujui ilienda wapi. Zaidi ni kwamba kitongoji cha KIJUKA kiko kilometa kama 3/5 kutoka yalipo makao makuu ya wilaya ya Missenyi lakini hakina umeme. Tumehangaika sana, tumefika hatua tukaweka kikao cha Kitongoji tukandika barua ya kuomba msaada wa kupatiwa umeme (Tuliorodhesha pia majina ya wanaohitaji umeme) tukaipeleka ofisi za Tanesco Missenyi lakini mpaka sekunde ya leo hatujapata majibu kila tukifuatilia hatupati majibu. Mara kibao nimeleta taarifa hii kuomba msaada nyie mmenihaidi kusaidia ila hadi sekunde hii ni kimya. Tafadhali sana naomba msaada w kupatiwa huduma ya umeme kwenye kitongoji cha KIJUKA. 0684542853
 
Tumewahi kukupatia ufafanizi wa eneo hili tumelipokea tena kwa hatua zaidi
 
Back
Top Bottom