Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawai chukua video yao?
Wanaume!!! kazini!!!
Wanawake!!! Nyumbani!!!!
Hawa jamaa ili waniwekee meme nifanjeje
yap yap hiyo ni tofauti maana wanasema ni hera ya usafiri ili aweze kufikia siteGharama za injinia ni tofauti na 321,000!?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata maisha yakiwa magumu unakuta mtu barabarani anapiga kopo teke anasindikiza na tusi..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa jamaa wanabaraa hata wakiwa kwenye gari zao we ukiwaona waite manamba utakuja kusimulia
Asante nimepata umeme Mungu awabariki.Umeme umewakaMbona kimya Tanesco Hanang au tunatakiwa tufanyeje kwani .Tusubiri siku ngapi mpaka waje kuweka umeme.
Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali namba ya mita na amefungiwa lini.je alitia taarufa ofisi ya eneo lakeKuna mtu huku kafungiwa mita kutokana na umeme wa Rea zile unit kumi zimeisha akitaka kununua anaambiwa mita haitambuliki[emoji26] na umeme umemuishia. Mnamsidiaje hapo?