Mbona tukiweka hizo details zetu bado hakuna jipya.... Mnatupigia simu basi imetosha. Huu Sasa ni mwezi wa nne tangu tulipe, jamani tuna huo umemeTafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Ninajaribu kuingiza umeme ila inaandika hivyo na umeme hauingii. Nini tatizo? View attachment 1515038
Sent from my Nokia 2.2 using JamiiForums mobile app
Nimefanya hivyo lakini badoKama ndo kwa mara ya kwanza nenda kanunue kituo husika
shs 27,000 ndio tulioambiwa tulipia wilaya ya Hanang TanescoUmelipia shilingi ngapi ndugu mteja
Kifaa chochote kinachofungwa baada ya mita kwenda ndani ni mali ya mteja hivyo kama haikugusi mita kwenda nche hakihusiani na TANESCOTunaomba msaada Tanesko, kuna mwana Jf anauza mita ya kutenganisha matumizi ya umeme je imethibitishwa kwa matumizi ya kawaida, ninachomaaisha matumizi yake ni sawa na mita zenu kwa upande wa uniti?
😁😁😁😁😁Kifaa chochote kinachofungwa baada ya mita kwenda ndani ni mali ya mteja hivyo kama haikugusi mita kwenda nche hakihusiani na TANESCO
Kifaa chochote kinachofungwa baada ya mita kwenda ndani ni mali ya mteja hivyo kama haikugusi mita kwenda nche hakihusiani na TANESCO
Mbona hamjanijibu jamani kuwekewa umeme baada ya kulipia inachukua siku ngapi .Hakuna nguzo inahitajika.Jamani wilaya ya Hanag Tanesco nisaidieni jamani huyu mama wapate umeme huko kijijinishs 27,000 ndio tulioambiwa tulipia wilaya ya Hanang Tanesco
Mbona kimya Tanesco Hanang au tunatakiwa tufanyeje kwani .Tusubiri siku ngapi mpaka waje kuweka umeme.Mbona hamjanijibu jamani kuwekewa umeme baada ya kulipia inachukua siku ngapi .Hakuna nguzo inahitajika.Jamani wilaya ya Hanag Tanesco nisaidieni jamani huyu mama wapate umeme huko kijijini
Wapo msibani, wanajitapa wanapiga kazi halafu ujanja ujanja mwingi, mimi pia nimelipia mda halafu wanasema hakuna waya, sasa wanajitapa nini kwamba wanapiga kazi? Wizi wizi tuMbona kimya Tanesco Hanang au tunatakiwa tufanyeje kwani .Tusubiri siku ngapi mpaka waje kuweka umeme.
Asante kwa taarifa tumeipokea kwa hatua zaidiHivi ni haki kweli kusubiri umeme miezi 5 tangu nilipofanya malipo? Ajabu Kuna baadhi ya watu nawajua wamelipia mwezi wa 5 na 6 wamepata umeme tayari. Je mnataka nitoe rushwa ili nipate hakiyangu ya umeme?
Richard Mbowe
Ilala
Chanika
Malipo kiasi sh 516,000
15/3)2020.
Mobile 0755446868