Juzi nimenunua unit 140. Inaelekea mita ilikuwa inasoma 0 kwa siku kadhaa. Baada ya kuweka ilisoma unit 120.
Nauliza kama inawezekana mita kutozima wakati units zimeisha ili ije ikate baada ya kuweka upya?
Uliendelea kuwaka. Nahisi wanakopesha siku hiziJe ilipokuwa inasoma 0 umeme uliendelea kuwaka?
Uliendelea kuwaka. Nahisi wanakopesha siku hizi
Kama Songesha ya Voda.[emoji23][emoji23] hii kitu ni mpyaa aiseee naona walikukopesha
Hapana mpendwa mteja wetuJuzi nimenunua unit 140. Inaelekea mita ilikuwa inasoma 0 kwa siku kadhaa. Baada ya kuweka ilisoma unit 120.
Nauliza kama inawezekana mita kutozima wakati units zimeisha ili ije ikate baada ya kuweka upya?
Sasa ilikuwaje niweke units 140 (Shs 50,000), halafu ziingie units 120?Hapana mpendwa mteja wetu
Hii mpaka uchukue form tupime na kukupatia gharama halisi ya makadirioNaomba kuuliza gharama ya kupata umeme umbali wa 110m yaani ngzo 2 ili nipate umeme ikoje?@Tanesco
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Nitume wapi?Tafadhali tuma namba ya simu namba ya mita na tarehe uliyonunua
Nilisha waeleza mara kibao na simu mlishanipigia na mkaahidi kushughulikia hili suala. Suala ni kwamba kitongoji chetu kinaitwa KIJUKA kiko katika kijiji cha Mabuye kata ya Kassambya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Tatizo ni kwamba kitongoji chetu kilirukwa katika kupatiwa huduma ya Rea mbali na kwamba hiki kitongoji kina uhitaji mkubwa sana wa umeme. Kibaya zaidi ni kwamba tuliwa kukaa kikao na viongozi wa Tanesco wilaya kama kijiji, tuliambiwa kijiji chetu kimepewa transfoma 4, ambazo zitawekwa kwenye vitongoji vya Mabuye, Kijuka, Ruhama na Itala. Vitongoji vitatu yaani Ruhama, Itala na Mabuye tayari walipata lakini kitongoji cha KIJUKA hatukupata na ile transfoma tuliyo ambiwa ni ya kitongoji cha KIJUKA hatujui ilienda wapi. Zaidi ni kwamba kitongoji cha KIJUKA kiko kilometa kama 3/5 kutoka yalipo makao makuu ya wilaya ya Missenyi lakini hakina umeme. Tumehangaika sana, tumefika hatua tukaweka kikao cha Kitongoji tukandika barua ya kuomba msaada wa kupatiwa umeme (Tuliorodhesha pia majina ya wanaohitaji umeme) tukaipeleka ofisi za Tanesco Missenyi lakini mpaka sekunde ya leo hatujapata majibu kila tukifuatilia hatupati majibu. Mara kibao nimeleta taarifa hii kuomba msaada nyie mmenihaidi kusaidia ila hadi sekunde hii ni kimya. Tafadhali sana naomba msaada w kupatiwa huduma ya umeme kwenye kitongoji cha KIJUKA. 0684542853Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka.lini
Tumewahi kukupatia ufafanizi wa eneo hili tumelipokea tena kwa hatua zaidiNilisha waeleza mara kibao na simu mlishanipigia na mkaahidi kushughulikia hili suala. Suala ni kwamba kitongoji chetu kinaitwa KIJUKA kiko katika kijiji cha Mabuye kata ya Kassambya wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Tatizo ni kwamba kitongoji chetu kilirukwa katika kupatiwa huduma ya Rea mbali na kwamba hiki kitongoji kina uhitaji mkubwa sana wa umeme. Kibaya zaidi ni kwamba tuliwa kukaa kikao na viongozi wa Tanesco wilaya kama kijiji, tuliambiwa kijiji chetu kimepewa transfoma 4, ambazo zitawekwa kwenye vitongoji vya Mabuye, Kijuka, Ruhama na Itala. Vitongoji vitatu yaani Ruhama, Itala na Mabuye tayari walipata lakini kitongoji cha KIJUKA hatukupata na ile transfoma tuliyo ambiwa ni ya kitongoji cha KIJUKA hatujui ilienda wapi. Zaidi ni kwamba kitongoji cha KIJUKA kiko kilometa kama 3/5 kutoka yalipo makao makuu ya wilaya ya Missenyi lakini hakina umeme. Tumehangaika sana, tumefika hatua tukaweka kikao cha Kitongoji tukandika barua ya kuomba msaada wa kupatiwa umeme (Tuliorodhesha pia majina ya wanaohitaji umeme) tukaipeleka ofisi za Tanesco Missenyi lakini mpaka sekunde ya leo hatujapata majibu kila tukifuatilia hatupati majibu. Mara kibao nimeleta taarifa hii kuomba msaada nyie mmenihaidi kusaidia ila hadi sekunde hii ni kimya. Tafadhali sana naomba msaada w kupatiwa huduma ya umeme kwenye kitongoji cha KIJUKA. 0684542853