Habari TANESCO .
Naomba kuuliza endapo mita ya Luku haifanyi kazi inachukua muda gani kubadilishiwa baada ya maombi kuwasilishwa
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Namba ya mita

Namba ya taarifa

Umetoa taarifa lini

Tatizo
 
Jina Mwinyimvua Mohamed
Eneo Tandika Mango
WilayaTemeke
Simu 0714446485
Namba ya mita 43002163319
Namba ya taarifa 5906
Tarehe ya taarifa 3/8/2020
Tatizo : button za mita hazibonyezeki
 
Jina Mwinyimvua Mohamed
Eneo Tandika Mango
WilayaTemeke
Simu 0714446485
Namba ya mita 43002163319
Namba ya taarifa 5906
Tarehe ya taarifa 3/8/2020
Tatizo : button za mita hazibonyezeki
Ahansante kwa taarifa tunaifanyiankazi
 
Mkuu TANESCO naona imekuwa mazoea sasa kutukatia umeme kila wiki siku za jnne au jtno huku Kimara.
Ni matengenezo gani haya yasiyoisha every week?
Imetosha sasa,tunaomba umeme wa uhakika kila siku ili nasi shughuli zetu ziende.Umeme utulie,Mtu ukae usahau,ufanye kazi zako kwa uhuru.Mnaharibu biashara za watu huku mitaani na huu umeme wenu usio wa uhakika.Inatosha.Umeme usikatwe kwa vipindi virefu.Tafuteni njia ya kufanya mambo yenu bila kukatia watu umeme.Mnaudhi sana nyinyi aisee!
 
Tafadhali onyesha kimara eneo gani na namba yako ya simu
 
Tafadhali onyesha kimara eneo gani na namba yako ya simu
Wewe uliza huko Ubungo watakuambia wamekata line yote ya Mavurunza kuanzia huko Ubungo.Mnaharibu kazi za wenzenu.Watanzania tu watulivu NA mambo yetu ila bado mnatuchokoza tu.Embu niwe NA hekima tu saw a NA umri wangu,niongee kwa utaratibu unielewe,tafuteni njia za kisasa za kifanya shughuli zenu bila kukata umeme wakuu.Dunia ya Leo imebadilika,umeme ndio uchumi wa watu at individual level,jamii NA nchi kwa ujumla.Jitahidini,be innovative,thanks.
 
Taarifa kamili ndio mwanzo wa huduma bora ndio maana hauwezi kulalamika bila kutoa taarifa ulizoombwa sehemu yeyote ile.unawezak kutoa hapa au inbox
 
Tanesco makao makuu, mkurugenzi mkuu wa tanesco tanzania, mwenyekiti wa bodi ya Tanesco Tanzania,waziri wa nishati, tunawaombeni ,tunawaombeni,tunawaombeni, tusaidieni,tusaidieni,tusaidieni kupitisha,miradi mipya ya nishati ya umeme iliyoainishwa ili wananchi waweze kupata umeme kabla ya uchaguzi mkuu October 28,kwenye mkoa wa simiyu,katavi na Geita.maswali ya kudai umeme ni mengi kuliko majibu kutoka kwa wananchi ambao ndio wapiga Kura wetu sambamba na ahadi aliyoitoa Mh Rais ya kila eneo ,Kijiji kupata umeme. Maeneo hayo ya mikoa hiyo wanahitaji nishati ya umeme na hawajawahi kupata nishati hiyo na kila tukipita kuomba Kura swali ni wapu ulipo umeme ? Tunaomba miradi yote mipya iliyoombewa fedha itekelezwe mapema ili sera ya tanzania ya viwanda itimie na itekelezwe. Hakuna viwanda bila umeme.Tunatengemea kilio hiki Cha hii mikoa kitawafikia na mtakifanyia kazi mapema kwani serikali yetu ni sikivu na inawajali wananchi wake.
 
Ahsante kwa taarifa tafadhali onyesha namba yako ya simu kwa ufatiliaji ba mrejesho zaidi
 
Line ya mavurunza yote haina umeme.Ukiwauliza wenyewe wanajua huko.
Tumekuomba wewe taarifa kamili kwa kuwa hakuna laini uliyotaja.Tunaamini umetoa taarifa ili uhudumiwe na kusikilizwa hivyo weka namba yako hata inbox tufatilie maana kwa sasa umeme upo
 
Tunashukuru tunafatilia swala lako mpendwa mteja wetu
Nitashukuru sana sana sana.pia ninawashukuru kwa kujali na kukisikia kilio Cha wananchi wa mikoa hii mitatu kuhusu kuwapatia nishati ya umeme miradi mipya kabla ya October 28.
 
Nitashukuru sana sana sana.pia ninawashukuru kwa kujali na kukisikia kilio Cha wananchi wa mikoa hii mitatu kuhusu kuwapatia nishati ya umeme miradi mipya kabla ya October 28.
AHSANTE SANA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…