Jmn hivi Hawa Tanesco wa mbeya siyo Tanzania au maana siwaelewi nimetoa taarifa kuwa nyumbani kwangu Kuna shida mita siku ya tatu saiv nawapigia cm hawafiki wanapiga viswahili tu hivi nyumba ikiungua wanalipa au ndo bahati mbaya tu
 
Jmn hivi Hawa Tanesco wa mbeya siyo Tanzania au maana siwaelewi nimetoa taarifa kuwa nyumbani kwangu Kuna shida mita siku ya tatu saiv nawapigia cm hawafiki wanapiga viswahili tu hivi nyumba ikiungua wanalipa au ndo bahati mbaya tu
Tafadhali onyesha

Eneo

Wila

Simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa
 
Kiongozi..nilitoa malalamiko ya tatizo la kukatika kwa umeme kwangu Kila siku saa 2 usiku..kwa muda wa miaka zaidi ya miwili Sasa.
Walifika wataalamu wa Tanesco wakaniambia Ni low voltage..wakasema watarekebisha..nilikaa Kama mwezi nikafatilia ofisi ya Tanesco( mwanza) wakaniambia nivumilie.. lakini miezi inaenda bila tatizo kutatuliwa
Naomba ufafanuzi nifanye nini/nichukue hatua gani ili tatizo la "low voltage" liishe nipate umeme muda wote Kama wengine
Leonard.. Buswelu-Mwanza 0767101328
 
Tunashukuru kwa kufatilia swala lako tunalifanyia kazi
 
Labda nguzo kubwa ya kupeleka umeme imeanguka au kuna short kubwa mjini circuit break ya kupozea umeme imetoka
 
Mkuu TANESCO Leo jpili kuanzia saa tatu na dk 40 hadi hivi ninavyoandika Kimara mwisho pote hakuna umeme.Maeneo yote ya Mavurunza,Kam College,Matangini,Dawasco,Kimara sokoni,udart,kanisa katoliki Mt.Maria Kimara mwisho,Tra mpaka machinjioni kule kote hamna umeme.
Ndg yangu tanesco naomba sana hii hali mjitahidi ipotee.Dunia ya leo kukata umeme mara kwa mara mnaumiza sana jamii na taifa.You should find a way kuondoa kabisa hitilafu hizi au kupunguza uwezekano wake kutokea mara kwa mara,na hasa kunaponyesha mvua.Mtatusaidia sana.
 
Tunashukuru kwa taarifa tafadhali onyesha namba ya simu kwa mrejesho zaidi
 
Kimara Baruti mpaka Msewe pote hakuna umeme toka jana! Tatizo ni nini? Hii miundombinu ambayo mvua ikinyesha kidogo inaharibika itapatiwa ufumbuzi lini??
 
Kimara Baruti mpaka Msewe pote hakuna umeme toka jana! Tatizo ni nini? Hii miundombinu ambayo mvua ikinyesha kidogo inaharibika itapatiwa ufumbuzi lini??
Tafadhali onyesha namba ya simu
 
Unit 1 =352 dah kweli uchumi wa kati huuu
TANESCO HUDUMA ZENU BADO SANAA HAPA UBUNGO BUSINESS PARK JUMATATU NA JUMANNE KUNA MGAO USIO RASMI SIKU NZIMA TUNAOMBA TUJULISHWE SHIDA NI NINI MAANA TUNA VIWANDA KUPOTEZA SIKU NZIMA BILA KUZALISHA NI HASARA. NATAFUTA NAMBA YA KALEMANI TANGU LAST WEEK SIJAPATA NIKIPATA NITATAKA KUJUA HAPA KUNA MGAO KILA WIKI?ILI TUJUE
 
Tafadhali onyesja namba ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…