mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 394
Jmn hivi Hawa Tanesco wa mbeya siyo Tanzania au maana siwaelewi nimetoa taarifa kuwa nyumbani kwangu Kuna shida mita siku ya tatu saiv nawapigia cm hawafiki wanapiga viswahili tu hivi nyumba ikiungua wanalipa au ndo bahati mbaya tu