TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Ndugu mteja
IMG_20200911_214349_288.jpg
 
Tanesco! Tanesco kisingizio chenu cha upanuzi wa mradi tunakielewa bila shida. Shida inakuja pale mteja wa mwisho anaongezewa mradi unapanuliwa halafu mteja wa kwanza kuleta fomu anaendelea kusubiri . MTU ana mwaka kapeleka fomu anaambiwa asubiri halafu mwingine ana miezi mitatu kaishapewa control number na wateja wote hao wanaitaji nguzo moja moja tu. Hivi in kweli nguzo moja au mbili huo in mradi kweli? Huu ni unyanyasaji na ni viashiria kuwa rushwa inatumika ndipo uwekewe umeme!!! Masalia ya nguzo yapo mengi kweli katika vijiji ambapo umeme umeishawafikia wananchi na vijiji vingine nguzo zimezidi idadi ya nyumba, je haiwezekani sisi tunaosubiri nguzo tukapewa hizo nguzo za ziada tunaziona tu zikioza barabarani???
 
Tafadhali onyesha una tatizo gani, wilaya, namba ya simu na umerudisha form lini?
 
Kila siku tunayajaza haya mnasema mnafuatilia!!! Tatizo langu kuwekewa umeme, nipo wilaya ya chemba, no. 0683537644 na fomu nilijaza tangu mwaka Jana mwezi wa nane. Tupo wateja wawili na tunahitaji nguzo mbili tu. Yaani mwenzangu akiwekewa nguzo moja na Mimi kwangu nguzo moja tu na surveyer alishakuja ikaeleweka hivyo kuwa nguzo mbili zitatuwezesha kupata umeme. Naitwa Alphonce Chilimo. Kama nilivyosema sababu yenu ya kusubiri mradi tunaielewa, lakini kwanini mtu wa nyuma awekewe umeme na sisi tuliopeleka fomu mwaka mzima tunawekwa pembeni???? Hizo dalili zinatupa wasiwasi kuwa rushwa inatakiwa ili kupata huduma.
 
Hii mbona tulishawasiliana na mteja husika na kumuelewesha
 
Ninachokumbuka mlinielewesha mwaka Jana mwezi wa sita ndio mlisema nifike ofisi ya makao makuu Ila sijafika nikavuta subira kuangalia kama manager alivyosema kuwa nisubiri bajeti inayoanza mwezi wa saba mpya. Kwahiyo nikaona sasa ni mwezi wa Tisa huu niulizie kama bajeti mpya imeanza kutumika au bado ndio lilikuwa swali langu. Nilipouliza mkasema mnafuatilia mtanijulisha Ila bado sijajulishwa mkuu!!!!
 
Bado ninaishangaa Sana Tanesco Arusha.
Wamekua wazito Sana kutuhudumia Sisi wateja ambao kiuhalisia ndiyo waajiri wao.Nimejaza fomu ya maombi ya kurekebishiwa tozo ya malipo ninayotozwa kupitia luku yangu kuanzia tarehe 7/5/2020,nikaambiwa watakuja kunitembelea Kwa ajili ya kufanya marekebisho hayo.Nilisubiri mwezi mmoja bila kuwaona na nikaamua kwenda kuwakumbusha tena.
Jibu nililolipata ni kwamba gari lao ni bovu ni mpaka hapo litakapotengemaa.Nikawaambia tulitumie gari langu lakini wakasema hawatumii magari ya wateja.
Urasimu Tanesco na ubabaishaji hapa Arusha umekuwa ni mwingi sana.Nimejaribu kutaka kumwona mhasibu wa luku wa hapa Arusha lakini kila nikienda hapatikani ofisini.
Kumwona meneja ndo kabisa afadhali kutaka kumwona Mkuu wa mkoa kuliko yeye.
Nauliza kulikoni Tanesco Arusha?Mko Kwa ajili ya nani?
 
Tafadhali onyesha wilaya namba ya simu na namba ya mita
 
Siku nyingine uwambie mita yako imezingua umeme hata ukiisha haukatiki unaendelea kuwaka tu wataona kama unawaibia watakuja speed kali
 
NIMESOMA MAONI KWELI TANESCO MNA MATATIZO MAKUBWA SANA..NARUDIA HAKUNA HATA HAJA YA KUWA NA THREAD KAMA HIII MANA 99% YA COMMENTS NI MALALAMIKO HAKUNA PONGEZ HATA MOJA TANESCO MNAFELI
 
Tupo kukuhudumia malalamiko ni mrejesho mzuri kwetu wa maeneo ya kufanyia kazi
 
Nipo hapa KISARAWE MDA HUU HAIJULIKAN YAAAN DAAAA TANGU SAA MBILI HADI NOW WATU WAMEJAA KISHENZ,CONTROL NAMBA KUPEWA TU NI MTIHANI AISEEE...AISEEE YAAN UTARSTIBU HATA HAUELEWEK..@tanesco
 
Nipo hapa KISARAWE MDA HUU HAIJULIKAN YAAAN DAAAA TANGU SAA MBILI HADI NOW WATU WAMEJAA KISHENZ,CONTROL NAMBA KUPEWA TU NI MTIHANI AISEEE...AISEEE YAAN UTARSTIBU HATA HAUELEWEK
Je nawewe upo hapo? Basi tusaidie namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Tumefatilia ni wateja wengi wamefika ofisini kuitikia mwitiko wa mradi wa REA hivyi wote watahudumiwa leo

Tunashukuru kwa mwitikio huu
 
Namba yangu hata sitoi mkuuu .MANA WALIOTOKA NAMBA NA WAMELETA MREJESHO HASI HAINA MANA KUTOA NAMBA YANGU.LABDA WEWE UPIGE OFISINI UULIZE WHY WATEJA WAMEJAA TANGU ASUBUH HAWAPEW CONTROL NUMBER ILI WAKALIPIE? TANESCO
 
Hapo sawa..japo mm sio REA NGOJA NISUBIRIE NIONE
 
Namba yangu hata sitoi mkuuu .MANA WALIOTOKA NAMBA NA WAMELETA MREJESHO HASI HAINA MANA KUTOA NAMBA YANGU.LABDA WEWE UPIGE OFISINI UULIZE WHY WATEJA WAMEJAA TANGU ASUBUH HAWAPEW CONTROL NUMBER ILI WAKALIPIE? TANESCO
Tumekupatia mrejesho hapo juu
 
Back
Top Bottom