Toka zako.Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali
Je umeshawahi kupimiwaUMEME KWA 27000 NI TANZANIA NZIMA AU NI BAADHI YA MAENEO!?
MIMI NIPO KIBAHA VISIGA, UMEME NI HIYO 27000TSH AU ZAIDI?
NAULIZA KWASABABU NILIPIGIWA HESABU YA 512000TSH MWAKA 2018 NIKASHINDWA KULIPIA.
ENEO LINA UMBALI WA MITA 40 TOKA KWENYE NGUZO NA LITAHITAJI NGUZO MOJA!!
Nilipimiwa mwaka 2018 wakanipa invoive ya 512000tsh nikashindwa kulipa so nataka kuomba upya ndio nataka kujua kama kuna mabadiliko ya bei kufikia iyo 27000 inayotajwa sasa.Je umeshawahi kupimiwa
Haupaswi kuomba upya bali fika ofisini na hiyo uliyopewa kwa hatua zaidiNilipimiwa mwaka 2018 wakanipa invoive ya 512000tsh nikashindwa kulipa so nataka kuomba upya ndio nataka kujua kama kuna mabadiliko ya bei kufikia iyo 27000 inayotajwa sasa.
Tafadhali onyeshaTanesco Mkuranga imezidiwa na wateja wanaoomba umeme, Kwann Temeke isisaidie kama ilivyo Kisarawe inavyoisaidia Ilala kwa baadhi ya maeneo.
Nimelipia mita toka tarehe 19/8/2020; nikiulizia naambiwa wanashughulikia waliolipa mwezi wa 6./2020.
Hapa kwa kweli inachosha kuweka mita tu unasubiria miezi kibao.
Philemon Carlos KallomoTafadhali onyesha
Jina
Namba ya simu
Eneo ulilopo kwa hatua zaidi
Na muda huu tena mmekata umeme saa tano na dakika 31 maeneo haya haya ya Bonyokwa Stop ova sijui mna shida gani? Hakuna sehemu ambayo ina shida ya umeme kama huku Bonyokwa maeneo ya Vertasi. Namba ya simu inahusu nini. Mpigieni meneja wenu awape taarifa. Hakuna raha kbs kila siku mnakata umeme. Aibu sana.Taafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidi
Mlihitaji , nikawapatia , nami nahitaji mrejesho mbona kimya.Tafadhali onyesha
Jina
Namba ya simu
Eneo ulilopo kwa hatua zaidi
Mrejesho ni muhimu ntarudi tena .Tunashukuru tunafanyia kazi
Tafadhali onyesha nama ya simu,namba ya mita,tatizo na namba ya taarifa kwa hatua zaidiTanesco Wilaya ya MBINGA Mimi siwaelewi kabisa. Kuna udhaifu wa Hali ya juu Sasa sijui NI kitengo Cha huduma kwa wateja au la.
Mimi mita yangu inasumbua tangu mwaka 2013 Hadi Sasa kwani nyakati za jioni kila siku umeme huzima kwangu tu na ninapo toa taarifa ofini kwao huchukua hadi siku kadhaa ndo waje kurekebesha.
Nimewahi kufika Hadi ofisi ya Meneja kutaka kujua tatizo ni nini na ufumbuzi wake NI upi majibu ninayopewa NI ya kisiasa tu ambayo utekelezaji wake haujawahi kuonekana tangu 2013 hadi Sasa.
Niliwahi kiwashauri Basi mita obadilishwe majibu yao mita no nzima na hako NI kachangamoto tu.
Hadi naandika ujumbe huu Sina umeme tangu Alhamisi mchana.
Sasa nimeamua kwenda kuonana na Meneja mkoa wa Ruvuma nikamwombe anibadilishie mita na Kama kweli haiwezekani waje waondoe limita lao.