TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
UMEME KWA 27000 NI TANZANIA NZIMA AU NI BAADHI YA MAENEO!?
MIMI NIPO KIBAHA VISIGA, UMEME NI HIYO 27000TSH AU ZAIDI?

NAULIZA KWASABABU NILIPIGIWA HESABU YA 512000TSH MWAKA 2018 NIKASHINDWA KULIPIA.
ENEO LINA UMBALI WA MITA 40 TOKA KWENYE NGUZO NA LITAHITAJI NGUZO MOJA!!
 
Je umeshawahi kupimiwa
 
Je umeshawahi kupimiwa
Nilipimiwa mwaka 2018 wakanipa invoive ya 512000tsh nikashindwa kulipa so nataka kuomba upya ndio nataka kujua kama kuna mabadiliko ya bei kufikia iyo 27000 inayotajwa sasa.
 
Haupaswi kuomba upya bali fika ofisini na hiyo uliyopewa kwa hatua zaidi
 
Kuna mtaa kama kijiji ni Lwengera Darajani ipo Korogwe TC umeme ulipelekwa nahisi mwaka jana lakini si nyumba zote ziliwekewa ikiwemo ya kwangu. Kutokana na taarifa sizizo rasmi na zenye kuvuruga ningependa kujua nini shida au ni watendaji tu wanatafuta namna ya kuhongwa sababu ni muda sasa hakuna way foward inayoleta matumaini na siamini kwa serikali hii nyaya, nguzo au tranforma ni shida cz sisi including Tanesco tu matajiri
 
Tanesco Mkuranga imezidiwa na wateja wanaoomba umeme, Kwann Temeke isisaidie kama ilivyo Kisarawe inavyoisaidia Ilala kwa baadhi ya maeneo.

Nimelipia mita toka tarehe 19/8/2020; nikiulizia naambiwa wanashughulikia waliolipa mwezi wa 6./2020.

Hapa kwa kweli inachosha kuweka mita tu unasubiria miezi kibao.
 
Tafadhali onyesha

Jina

Namba ya simu

Eneo ulilopo kwa hatua zaidi
 
Tafadhali onyesha

Jina

Namba ya simu

Eneo ulilopo kwa hatua zaidi
Philemon Carlos Kallomo

0754695296

Mtipesa Mkokozi.

Fomu nilichukua mwezi March , 2020 nikapewa control number August 2020
Baada ya kupata huduma fomu no 1. July 2020
 
Yaani,form uchukue March, control number ya kulipia upewe August? Kweli tanesco hamko seriously, ukweli lazima tuseme.mtu anapichukua form anajua amejipanga kulipia,Sasa siku zote hizo mnadhani atakaa tu na hela,yaani nyie utafikiri sio watanzania.
 
Taafadhali onyesha namba yako ya simu kwa hatua zaidi
Na muda huu tena mmekata umeme saa tano na dakika 31 maeneo haya haya ya Bonyokwa Stop ova sijui mna shida gani? Hakuna sehemu ambayo ina shida ya umeme kama huku Bonyokwa maeneo ya Vertasi. Namba ya simu inahusu nini. Mpigieni meneja wenu awape taarifa. Hakuna raha kbs kila siku mnakata umeme. Aibu sana.
 
Wiki ya huduma kwa wateja
IMG_1d68xx.jpg
 
Tanesco hamtaki kujibu kero yangu mpaka sasa miundo mbinu haijanifikia toka mmekuja kusavey mmesepa since august
 
Tanesco hamtaki kujibu kero yangu mpaka sasa miundo mbinu haijanifikia toka mmekuja kusavey mmesepa since august
Tafadhali onyesha

Jina

Namba ya simu

Wilaya

Eneo ulilopo kwa hatua zaidi
 
Tanesco Wilaya ya MBINGA Mimi siwaelewi kabisa. Kuna udhaifu wa Hali ya juu Sasa sijui NI kitengo Cha huduma kwa wateja au la.
Mimi mita yangu inasumbua tangu mwaka 2013 Hadi Sasa kwani nyakati za jioni kila siku umeme huzima kwangu tu na ninapo toa taarifa ofini kwao huchukua hadi siku kadhaa ndo waje kurekebesha.
Nimewahi kufika Hadi ofisi ya Meneja kutaka kujua tatizo ni nini na ufumbuzi wake NI upi majibu ninayopewa NI ya kisiasa tu ambayo utekelezaji wake haujawahi kuonekana tangu 2013 hadi Sasa.
Niliwahi kiwashauri Basi mita obadilishwe majibu yao mita no nzima na hako NI kachangamoto tu.
Hadi naandika ujumbe huu Sina umeme tangu Alhamisi mchana.
Sasa nimeamua kwenda kuonana na Meneja mkoa wa Ruvuma nikamwombe anibadilishie mita na Kama kweli haiwezekani waje waondoe limita lao.
 
Tafadhali onyesha nama ya simu,namba ya mita,tatizo na namba ya taarifa kwa hatua zaidi
 
Kwa majina naitwa OSCAR MKANDYA JOHN
Nipo wilaya ya buchosa
Kata ya Nyanzenda
Simu, 0768145634
 
Back
Top Bottom