TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Habari..

Alhamisi usiku nyaya zilipiga shoti, kesho yake wakaja watu wa service wakatoa waya na kuondoka huku wakisema watarudi kesho..
Mpaka leo hii hawajarudi na hatuna huduma ya umeme, tumewasiliana na huduma kwa wateja zaidi ya mara 10, wakaishia kutupa namba ya supervisor 0655989935, huyu mtu ukipiga simu hapokei kabisa, na ukituma meseji unakuwa umefanya kosa, anakuweka blacklist..
Hivyo tangu alhamisi hatuna umeme..

Chanika mwisho, gogo kwa ndevu mbili...
0765 050591..

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Ahsante kwa taarifa
 
Ahsante kwa taarifa
Hatua gani mmefikia ndugu, imagine hatuna umeme tangu alhamisi, biashara haziendi ,vitu kwenye friji vinaoza, tuchukue hatua gani zaidi.????

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Tafadhali tumie huduma kwa wateja huu ndio mfumo sahihi kutoa taarifa
Mnaongelea huduma kwa wateja ipi????

Nimetoa taarifa toka ijumaa ilopita ktk media zenu, jmos nikaenda ofisi iliyokaribu nami wakanambia jtatu niende makao makuu.

Jpil akaja mtu wenu akaniunganshia baada ya hapo akanielekeza kufatilia namba za kuingiza kuifungua mita.

Mpaka sasa namba haziingi toka hyo jana wamenirusharusha subir fundi had leo, imefika hatua leo toka asubuhi nkipiga simu inanambia bize nikaenda had ofisin napewa kiswahii, hzo huduma kwa wateja siwapati tena. Hapa namaliza ugali leo ntalala pale ofisini Tanesco gongolamboto/Mzambarauni
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka saa ngapi

Kwa hatua zaidi
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka saa ngapi

Kwa hatua zaidi
Jina:Faridi
Eneo: Kipunguni B,Ukonga,Ilala-Dsm
Tatizo: Nilipewa namba za kria tempa toka jana nikiingiza zinakataa, inakuja error 77
Nikapewa maelekezo ya kuingiza 0 namba za mita 0 namba za mita still inasumbua. Jana nikaambiwa ilo tatizo mpaka waje mafundi, sasa toka jana jion had sasa sijafanikiwa kupata fundi. Sina umeme toka ijumaa mchana
Nilipigia asubuhi wakanambia wanajaza mafuta wakianza watakuja, nikaenda ofisini nikaambiwa watakuja story ndo hzo mpaka sasa. Nimeamua kupumzika tu ndo kilichobaki
 
Weka taarifa zote tafadhali ikiwemo namba ya mita
 
Mkuu siku nyingine taarifa Kama hizi nashauri utuma inbox
 
Tanesco mmeshindwa kunisogezea miundo mbinu ya umeme karb na eneo langu ni nusu mwaka sasa toka nimetuma maombi ya kupatiwa miundo mbinu
 
Hivi TANESCO hii Tanzania ya viwanda tunayoambiwa itakuja kweli? Yani kila siku nyie mnakata umeme hivyo viwanda au vinatumia mashini za diesel. Yani kila week lazima siku mbili au tatu mkate umeme. Mnakera saaaaana tena saaaana.
Yani mnatuharibia kazi zetu na kupoteza ela yetu. Majibu eti mnarekebisha mifumo, hivi uwa hammalizi maana ni january to december argggh.
TANESCO
 
Hivi TANESCO hii Tanzania ya viwanda tunayoambiwa itakuja kweli? Yani kila siku nyie mnakata umeme hivyo viwanda au vinatumia mashini za diesel. Yani kila week lazima siku mbili au tatu mkate umeme. Mnakera saaaaana tena saaaana.
Yani mnatuharibia kazi zetu na kupoteza ela yetu. Majibu eti mnarekebisha mifumo, hivi uwa hammalizi maana ni january to december argggh.
TANESCO
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka saa ngapi

Kwa hatua zaidi
 
Habari
Nahitaji kutenganisha matumizi kati ya frame za biashara na nyumbani. Natakiwa niafanyaje? Inawezekana bila kununua meter nyingine ya luku? Gharama zikoje. Nawasilisha
 
Kutenganisha ni muhimu kuomba mita ya pili, ambapo gharama halisi itakuwa 27,000 kwa vijini na 320,960 kwa mjini
 
Asanteni sana
Jana nilipigiwa simu toka kwenu.
Jumatatu nitachukua form
 
TANESCO kuna tatizo gano Bunju B mbona umeme umekatika toka usiku wa manane? Hata jana ulikatika asubuhi ukarudi kama saa tano sita hivi? Mnatutesa sana yani huduma zenu siyo za uhakika hata kidogo.
 
Huduma imerejea kumradhi sana
 
Tutakufikia
IMG-20200819-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom