Mkuu taarifa hizi waeleze inboxNaitwa OSCAR MKANDYA JOHN mkazi wa wilaya ya buchosa -sengerema kata ya nyanzenda kijiji cha luchili kitongoji cha iseni nina kero ya muda mrefu juu ya kupatiwa miundo mbinu ya umeme na tanesco ngazi ya wilaya walifika kwangu kufanya upembuzi na kubaini inahitajika nguzo mbili cha ajabu toka mwezi wa saba mpaka leo hakuna nilichohudumiwa zaidi ya kupewa maneno ya kuniliwaza tu ,, tanesco ifike sehemu mtambue kuwa mtu anapohitaji umeme anahitaji ulinzi na uslama wa nyumba yake kwanini mnaninyanyasa hivyo kwann msiniambie nikajipanga tofauti namba yangu ni 0768145634
Tafadhali onyeshaKero yangu ni matangazo ya uchawi ktk nguzo zenu, imefikia sasa vinawekwa vibao vya kudumu kabisa na ninyi hamvitoi au kuchukua hatua yyte... Uchawi ni uchafu, aibu..Tanzania inatembelewa na wageni mbali mbali tunaonekanaje kwao!?...unakuta mchawi mmoja ameweka mabango karibia mji wote na hakuna wa kuchukua
Ahsante kwa taarifa tumeipokeaKuna line huku chanika wilaya ya Ilala,haina umeme tangu Jana 25Oct 2020 asubuhi, eneo ni Magenge karibu ya shule ya msingi Tungini,najaribu kupiga simu ya ilala naona ipo bize muda mrefu,tunaomba msaada wa haraka no yangu ni 0714779110
Waliwasha jioni ya Jana nilifanikiwa kuongea na tanesco kisarawe,mnafanya kazi nzurAhsante kwa taarifa tumeipokea
Mrejesho:-Tanesco ijumaa alikuja mtu wenu huku saccos Mabwepande na baadae wakaja mafundi wenu wakaweka vikombe na kushusha nyaya tatu za kuunga kwenye transformer wakaondoka.
Jumamosi hawajaja labda ni kwasababu sio siku ya kazi(benefit of doubt ),we hope kesho mtaendelea na process mtufungie transformer wakazi wa saccos tupate umeme ili tuendeleze juhudi za Mh Rais za kuendeleza viwanda.
Nguzo ziliwekwa July 2019 hadi leo September 2020 umeme hauwaki wakati wenzao Dawasa walianza kuchimba na kusambaza mabomba Nov 2019 baada ya muda mfupi tu tayari tunapata maji ya dawasa.
Tanesco fanyeni kazi kuhudumia wananchi,watu wanahitaji huduma lakini hawapati ,najua mnafanya haya coz mme_monopolize soko ,hakuna ushindani....Issue kama hizi sio mpaka Mh Raisi aje ndio mfanye,Mh ana mambo mengi amewaweka nyie mumsaidie kutimiza malengo yake ya kutupatia umeme vijiji vyote.
Tunawaomba Tanesco mzidishe speed ya kazi yenu kabla mvua za mwezi wa 10 kuanza maana njia za kwetu ni changamoto kipindi cha mvua msije kuleta sababu kwamba hatuwezi kupitisha transfomer kwasababu ya njia mbovu.
Tafadhali onyeshaHivi TANESCO hili neno dharura kwenu lina maana gani??
Mtu anapiga simu ya dharura anahitaji msaada wa haraka kisha mnasema atafikiwa within 24HRS , are you real serious???
Kama ni shot ya kuunguza nyumba hapo si itakuwa tayari hasara kwa mteja wenu.
Naomba mubadilike Kwenye hili mnaposema dharura basi mtu afikiwe ndani ya muda mfupi na muongeze idadi ya magari ya kutoa huduma za dharura . Kwa upande wa mbagala wa gari Moja tu ambalo linatagemewa kitu ambacho kinapunguza ufanisi wa huduma.
Gari unapiga simu unaambiwa mafundi wapo Kijichi wakitoka huko wapite Kiburugwa hadi wakufikie wewe mtu wa Mbande hiyo imeshapita saa 72 .
Nimekaa bila umeme kwa Siku 4 na tatizo nilikuwa juu ya nguzo ya umeme kwa sababu umeme ulikuwa haufiki hata Kwenye mita ya LUKU.
Naomba hili lifanyiwe kazi la kuongea idadi ya magari ya dharura kwa kituo chenu cha Mbagala.
Ahsante
Kama umesoma vizuri hapo ni kuwa tatizo langu limeshatatuliwa.Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka saa ngapi
Kwa hatua zaidi
Upumbavu wa kuzima umeme upo nchi nzima leo.Tunahitaji umeme kuchaji simu, kuangalia TV etc na kupata habari za kura. Mnazima umeme mna agenda gani?
Tafadhali onyeshaTanesco mkoa wa Ruvuma ,kitengo cha Emergency mnazingua sana sijui mnataka Rushwa hata sijui shida ni nini? Tumekatiwa umeme toka mchana wakidai kuna shoti imetokea tumepiga simu tanesco wanasema mafundi wapi njiani ,mpaka sasa hamna kinachoendelea na hatujaona fundi yeyote akija kutatua tatizo ,sasa Mimi nasema hivi nyie endeleeni na huu ubabaishaji wenu ipo siku tutakuja kuelewana maana mnafanya kama shirika la wazazi wenu.