mkandya27
Senior Member
- Oct 26, 2015
- 153
- 30
Naitwa OSCAR MKANDYA JOHN mkazi wa wilaya ya buchosa -sengerema kata ya nyanzenda kijiji cha luchili kitongoji cha iseni nina kero ya muda mrefu juu ya kupatiwa miundo mbinu ya umeme na tanesco ngazi ya wilaya walifika kwangu kufanya upembuzi na kubaini inahitajika nguzo mbili cha ajabu toka mwezi wa saba mpaka leo hakuna nilichohudumiwa zaidi ya kupewa maneno ya kuniliwaza tu ,, tanesco ifike sehemu mtambue kuwa mtu anapohitaji umeme anahitaji ulinzi na uslama wa nyumba yake kwanini mnaninyanyasa hivyo kwann msiniambie nikajipanga tofauti namba yangu ni 0768145634