Tafadhali onyeshaKwanini sisi wateja wa REA tunabaguliwa hususani katika kuunganishiwa umeme, mfano mimi mkazi wa kata ya Lwanhima-- Mwanza nimelipia kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa 8 ila mpaka leo ni mwezi wakumi na moja sijaunganishiwa, nikifatilia naambiwa vifaa hamna!
Natumia Unit chini ya 70 kwanini meter haijibadilish tariff automaticaly?Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Je ulipatiwa maelezo gani?namba ya simu tafadhaliNinaitwa Kessy nipo wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu jirani kabisa na ofisi yenu ya wilaya. Nimenunua umeme wa Tsh. 8000 kwa njia ya NMB Mkononi. Nimetumiwa token. Nimeshajaribu kuziingiza mara nyingi zinakataa. Remote ya meter inaniandikia "reject" Nimeenda ofisi ya wilaya ya Busega nilipo tatizo linaonekana lipo nje ya uwezo wao. Nimejaribu kununua wa 1000 umekubali. Namba ya meter ni 24213579527. Naomba msaada wenu.
Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kaziMimi Tarakwa (0621149433), mkazi wa wilaya ya Kilindi mkoani Tanga.Tafadhali naomba msaada wa mawasiliano ya manager wa TANESCO wilaya ya Kilindi. Nahitaji huduma ya umeme na nilijaza fomu Tangu mwezi wa sita Hadi Leo sijapata huduma ya umeme. Awali nilikuwa nikiwasiliana na mamlaka ya TANESCO wilaya ya Kilindi kwa namba hii 0718 851 650, ambayo kwa muda mrefu Sasa haipo hewani. Ahsante
Maelezo niliyopewa ni kwamba wanafuatili ili niandaliwe token mpya na IT wenu. Hapa kwenye ofisi yenu ya wilaya hawana uwezo huo. Namba yangu 0767151519. NisaidieniJe ulipatiwa maelezo gani?namba ya simu tafadhali
NasubiriInafanyiwa kazi
Tafadhali onyesha namba ya simu kwa hatua zaidiTanesco Mbezi: Hapa mbezi Mshikamano mtaa was Peramiho / Kwa Matembo, Luna Fault INA miezi mitano sasa.
Luna guzo inaelekea mafundi wenu hawalitengenezi vizuri, kwa makusudi ama kwa kutojua.
Kila Mara inaponyesha mvua yenye Upepo mkali nyuma kama kumi zinazozunguka nguzo hiyo zinapata Shot na Umeme kuzima kwenye nyumba zao.
Mbezi mwisho nzima inaweza kuwa na umeme lakini eneo hill lokawa gizani.
Mafundi wenu wanapokuja wanafunga funga na kukaza nyaya na wakazi wanapata Umeme.
Lakini inapotokea mvua yenye upepo ikanyesha Sikh hiyo hiyo, tatizo linajirudia!
Leo tar 11/11/2020 SAA Tano Kamili niuandikapo ujumbe huu eneo hill lipo gizani toka Jana usiku iliponyesha mvua ndogo tu iliyoandamana na Upepo Umeme kukatika SAA 11 Alfajiri, had I sasa!
Tufanyeje, ili tatizo hili lipatiwe Ufumbuzi?
Leo ni karibu week nzima. Ombi langu bado linashughulikiwa au ndio nimedhulumiwa unit zangu 65+?Inafanyiwa kazi
Nina tatizo sasa ni zaidi ya miezi miwili tangu nimeliripoti. Reference namba yangu ni 2171. Umeme umepungua nguvu na siwezi kutumia micro-wave oven. Siyo mara ya kwanza tatizo hili kutokea, na huwa linatokea pale tu umeme unapokatioka. Ninaishi kwa maisha ya microwave oven zaidi ya miaka 10 sasa. Kila nikipiga simu naambiwa kuna watu watakuja walishughulikie, halafu hawaji. Hatimaye nimeamua kukaa kimya.Je ulipatiwa maelezo gani?namba ya simu tafadhali
Tafadhali onyeshaNina tatizo sasa ni zaidi ya miezi miwili tangu nimeliripoti. Reference namba yangu ni 2171. Umeme umepungua nguvu na siwezi kutumia micro-wave oven. Siyo mara ya kwanza tatizo hili kutokea, na huwa linatokea pale tu umeme unapokatioka. Ninaishi kwa maisha ya microwave oven zaidi ya miaka 10 sasa. Kila nikipiga simu naambiwa kuna watu watakuja walishughulikie, halafu hawaji. Hatimaye nimeamua kukaa kimya.
Tafadhali onyeshaTanesco Tanesco kunani hukooo!!! Naomba niwekewe umeme vijamaa vinajifanya kuniwia vikali,vibane ofsini eti anajifanya hataki kuongea politely na mteja kwa kushukiwa anawaka kutokiwa humble asistukiwe...mwizi mwizi tu
Refence number yangu ni 2171. Kila kitu kipo ofisini kwenuTafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Kwa hatua zaidi