Tanesco Mbezi: Hapa mbezi Mshikamano mtaa was Peramiho / Kwa Matembo, Luna Fault INA miezi mitano sasa.
Luna guzo inaelekea mafundi wenu hawalitengenezi vizuri, kwa makusudi ama kwa kutojua.
Kila Mara inaponyesha mvua yenye Upepo mkali nyuma kama kumi zinazozunguka nguzo hiyo zinapata Shot na Umeme kuzima kwenye nyumba zao.
Mbezi mwisho nzima inaweza kuwa na umeme lakini eneo hill lokawa gizani.
Mafundi wenu wanapokuja wanafunga funga na kukaza nyaya na wakazi wanapata Umeme.
Lakini inapotokea mvua yenye upepo ikanyesha Sikh hiyo hiyo, tatizo linajirudia!
Leo tar 11/11/2020 SAA Tano Kamili niuandikapo ujumbe huu eneo hill lipo gizani toka Jana usiku iliponyesha mvua ndogo tu iliyoandamana na Upepo Umeme kukatika SAA 11 Alfajiri, had I sasa!
Tufanyeje, ili tatizo hili lipatiwe Ufumbuzi?