Mnajitahidi sana kutuhadaa Hanna lolote mnaomba taarifa binafsi za mteja na hakuna response yoyote
 
Mnajitahidi sana kutuhadaa Hanna lolote mnaomba taarifa binafsi za mteja na hakuna response yoyote
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka saa ngapi

Kwa hatua zaidi
 
Tanesco tanesco tanesco ase

Nyie wababaishaji sana kila mtu anasema lake nguzo aziuzwi tena??

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mteja anaomba huduma ya kuunganishiwa umeme na sio bei ya vifaa vya kuunganishia umeme kumbuka jukumu la TANESCO ni

1.Kuzalisha umeme

2.Kusafirisha umeme

3.Kusambaza umeme
 
Namba tayari nilishaitaja hapo awali kwenye post yangu, ni 2171. Ni ya mwezi wa 9 mwanzoni. Mimi siyo mgeni kwa huduma za Tanesco
 
Lengo la kutoa taarifa ni kuhudumiwa ili uhudumiwe taarifa inapaswa kuwa kamili itusaidie kuiona kwenye mfumo
Reference number 2171 of early September this year. I'm not new to your services
 
Habari, usiku wa kuamkia leo (Nov 17) nimenunua umeme kupitia sim banking ya Absa lakini hadi sasa sijapata token.Shida ni nini? Maana kabla ya kulipia umeme nimelipa bill ya maji
 
Kutopata token onspot baada ya kununua imesababishwa na nini? Ili kwamba kama kuna mahali nakosea nirekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…