TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
IJUE NAMBA YA TAARIFA KUTOKA TANESCO

Ili kuendana na mabadiliko ya kitekinolojia TANESCO ina mfumo wa kielectronic wa kusimamia utoaji wa huduma.

Mteja anapotoa taarifa iwe ni maombi, malalamiko, madai au hitilafu taarifa zake zinaingizwa kwenye mfumo huo

Ni wajibu wetu sisi kumpatia mteja namba ya taarifa kwa kila huduma anayotolea taarifa ili kuwa na kumbukumbu sahihi za muda aliotoa taarifa na hatua zilizochukuliwa

Mfano taarifa ya hitilafu[emoji1313][emoji1313]
mteja akitoa taarifa ya
hitilafu anapatiwa namba ya taarifa yaani Technical Breakdown number ambayo ina namba maalumu kutokana na Mkoa anaopatia huduma mfano mteja wa Manyara atapatiwa mfano wa namba: MNR062019TB-000X

Mfano barua ya malalamiko
[emoji1313][emoji1313] mteja anapewa namba ya lalamiko yenye mfumo

MNR062019CC-000X

Umuhimu wa namba ya taarifa

[emoji871]Ni rahisi mtoa huduma yeyote kuona taarifa kamili za mteja alizotoa na nini kimefanyika kumuhudumia

[emoji871]Ni ushahidi kuwa umetoa taarifa TANESCO.

[emoji871]Ni ushahidi kuwa taarifa zako zimeingizwa kwenye mfumo wetu

[emoji871]Inasaidia Shirika kuwa taarifa kamili ya nini kinachotolewa taarifa zaidi na wateja hivyo kuchukua hatua stahiki

Zingatia

[emoji871]Ili taarifa zako ziingizwe kwa ufasaha unaomba kutoa ushikiano kwa mtoa huduma wetu kwa kutoa taarifa kamili anazokuuliza

[emoji871]Kwa kazi ambayo imeshatangazwa mfano makatizo ya umeme hatutoi namba ya taarifa kwa kuwa inakuwa imeshatangazwa na ipo kwenye mfumo wetu

Ni haki yako kupata namba ya taarifa na ni wajibu wako kuikumbuka au kukumbuka namba ya simu uliyotolea taarifa ili kupata huduma bora

Unapopiga simu kuulizia taarifa yako tafadhali taja namba hiyo ya taarifa/namba ya simu uliyotaja wakati unatoa taarifa/jina ulilotumia
nk

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Mnajitahidi sana kutuhadaa Hanna lolote mnaomba taarifa binafsi za mteja na hakuna response yoyote
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka saa ngapi

Kwa hatua zaidi
 
Tanesco tanesco tanesco ase

Nyie wababaishaji sana kila mtu anasema lake nguzo aziuzwi tena??

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mteja anaomba huduma ya kuunganishiwa umeme na sio bei ya vifaa vya kuunganishia umeme kumbuka jukumu la TANESCO ni

1.Kuzalisha umeme

2.Kusafirisha umeme

3.Kusambaza umeme
 
IJUE NAMBA YA TAARIFA KUTOKA TANESCO

Ili kuendana na mabadiliko ya kitekinolojia TANESCO ina mfumo wa kielectronic wa kusimamia utoaji wa huduma.

Mteja anapotoa taarifa iwe ni maombi, malalamiko, madai au hitilafu taarifa zake zinaingizwa kwenye mfumo huo

Ni wajibu wetu sisi kumpatia mteja namba ya taarifa kwa kila huduma anayotolea taarifa ili kuwa na kumbukumbu sahihi za muda aliotoa taarifa na hatua zilizochukuliwa

Mfano taarifa ya hitilafu[emoji1313][emoji1313]
mteja akitoa taarifa ya
hitilafu anapatiwa namba ya taarifa yaani Technical Breakdown number ambayo ina namba maalumu kutokana na Mkoa anaopatia huduma mfano mteja wa Manyara atapatiwa mfano wa namba: MNR062019TB-000X

Mfano barua ya malalamiko
[emoji1313][emoji1313] mteja anapewa namba ya lalamiko yenye mfumo

MNR062019CC-000X

Umuhimu wa namba ya taarifa

[emoji871]Ni rahisi mtoa huduma yeyote kuona taarifa kamili za mteja alizotoa na nini kimefanyika kumuhudumia

[emoji871]Ni ushahidi kuwa umetoa taarifa TANESCO.

[emoji871]Ni ushahidi kuwa taarifa zako zimeingizwa kwenye mfumo wetu

[emoji871]Inasaidia Shirika kuwa taarifa kamili ya nini kinachotolewa taarifa zaidi na wateja hivyo kuchukua hatua stahiki

Zingatia

[emoji871]Ili taarifa zako ziingizwe kwa ufasaha unaomba kutoa ushikiano kwa mtoa huduma wetu kwa kutoa taarifa kamili anazokuuliza

[emoji871]Kwa kazi ambayo imeshatangazwa mfano makatizo ya umeme hatutoi namba ya taarifa kwa kuwa inakuwa imeshatangazwa na ipo kwenye mfumo wetu

Ni haki yako kupata namba ya taarifa na ni wajibu wako kuikumbuka au kukumbuka namba ya simu uliyotolea taarifa ili kupata huduma bora

Unapopiga simu kuulizia taarifa yako tafadhali taja namba hiyo ya taarifa/namba ya simu uliyotaja wakati unatoa taarifa/jina ulilotumia
nk

TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Namba tayari nilishaitaja hapo awali kwenye post yangu, ni 2171. Ni ya mwezi wa 9 mwanzoni. Mimi siyo mgeni kwa huduma za Tanesco
 
Lengo la kutoa taarifa ni kuhudumiwa ili uhudumiwe taarifa inapaswa kuwa kamili itusaidie kuiona kwenye mfumo
Reference number 2171 of early September this year. I'm not new to your services
 
Habari, usiku wa kuamkia leo (Nov 17) nimenunua umeme kupitia sim banking ya Absa lakini hadi sasa sijapata token.Shida ni nini? Maana kabla ya kulipia umeme nimelipa bill ya maji
Screenshot_20201117-074246.jpg
 
Kutopata token onspot baada ya kununua imesababishwa na nini? Ili kwamba kama kuna mahali nakosea nirekebishe
 
Back
Top Bottom