Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Temeke -changombeWilaya gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Temeke -changombeWilaya gani
Nguzo haziuzwi tafadhali kama umekamilisha wiring njoo chukua form tukupimie na kukupa makadirio halisiMbeya vijijini gharama zenu nguzo mbili kiasi gan???
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mnajitahidi sana kutuhadaa Hanna lolote mnaomba taarifa binafsi za mteja na hakuna response yoyoteIJUE NAMBA YA TAARIFA KUTOKA TANESCO
Ili kuendana na mabadiliko ya kitekinolojia TANESCO ina mfumo wa kielectronic wa kusimamia utoaji wa huduma.
Mteja anapotoa taarifa iwe ni maombi, malalamiko, madai au hitilafu taarifa zake zinaingizwa kwenye mfumo huo
Ni wajibu wetu sisi kumpatia mteja namba ya taarifa kwa kila huduma anayotolea taarifa ili kuwa na kumbukumbu sahihi za muda aliotoa taarifa na hatua zilizochukuliwa
Mfano taarifa ya hitilafu[emoji1313][emoji1313]
mteja akitoa taarifa ya
hitilafu anapatiwa namba ya taarifa yaani Technical Breakdown number ambayo ina namba maalumu kutokana na Mkoa anaopatia huduma mfano mteja wa Manyara atapatiwa mfano wa namba: MNR062019TB-000X
Mfano barua ya malalamiko[emoji1313][emoji1313] mteja anapewa namba ya lalamiko yenye mfumo
MNR062019CC-000X
Umuhimu wa namba ya taarifa
[emoji871]Ni rahisi mtoa huduma yeyote kuona taarifa kamili za mteja alizotoa na nini kimefanyika kumuhudumia
[emoji871]Ni ushahidi kuwa umetoa taarifa TANESCO.
[emoji871]Ni ushahidi kuwa taarifa zako zimeingizwa kwenye mfumo wetu
[emoji871]Inasaidia Shirika kuwa taarifa kamili ya nini kinachotolewa taarifa zaidi na wateja hivyo kuchukua hatua stahiki
Zingatia
[emoji871]Ili taarifa zako ziingizwe kwa ufasaha unaomba kutoa ushikiano kwa mtoa huduma wetu kwa kutoa taarifa kamili anazokuuliza
[emoji871]Kwa kazi ambayo imeshatangazwa mfano makatizo ya umeme hatutoi namba ya taarifa kwa kuwa inakuwa imeshatangazwa na ipo kwenye mfumo wetu
Ni haki yako kupata namba ya taarifa na ni wajibu wako kuikumbuka au kukumbuka namba ya simu uliyotolea taarifa ili kupata huduma bora
Unapopiga simu kuulizia taarifa yako tafadhali taja namba hiyo ya taarifa/namba ya simu uliyotaja wakati unatoa taarifa/jina ulilotumia nk
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Tanesco tanesco tanesco aseNguzo haziuzwi tafadhali kama umekamilisha wiring njoo chukua form tukupimie na kukupa makadirio halisi
Mteja anaomba huduma ya kuunganishiwa umeme na sio bei ya vifaa vya kuunganishia umeme kumbuka jukumu la TANESCO niTanesco tanesco tanesco ase
Nyie wababaishaji sana kila mtu anasema lake nguzo aziuzwi tena??
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Nashukuru limefanyiwa kaziTumepokea taarifa tafadhali
Namba tayari nilishaitaja hapo awali kwenye post yangu, ni 2171. Ni ya mwezi wa 9 mwanzoni. Mimi siyo mgeni kwa huduma za TanescoIJUE NAMBA YA TAARIFA KUTOKA TANESCO
Ili kuendana na mabadiliko ya kitekinolojia TANESCO ina mfumo wa kielectronic wa kusimamia utoaji wa huduma.
Mteja anapotoa taarifa iwe ni maombi, malalamiko, madai au hitilafu taarifa zake zinaingizwa kwenye mfumo huo
Ni wajibu wetu sisi kumpatia mteja namba ya taarifa kwa kila huduma anayotolea taarifa ili kuwa na kumbukumbu sahihi za muda aliotoa taarifa na hatua zilizochukuliwa
Mfano taarifa ya hitilafu[emoji1313][emoji1313]
mteja akitoa taarifa ya
hitilafu anapatiwa namba ya taarifa yaani Technical Breakdown number ambayo ina namba maalumu kutokana na Mkoa anaopatia huduma mfano mteja wa Manyara atapatiwa mfano wa namba: MNR062019TB-000X
Mfano barua ya malalamiko[emoji1313][emoji1313] mteja anapewa namba ya lalamiko yenye mfumo
MNR062019CC-000X
Umuhimu wa namba ya taarifa
[emoji871]Ni rahisi mtoa huduma yeyote kuona taarifa kamili za mteja alizotoa na nini kimefanyika kumuhudumia
[emoji871]Ni ushahidi kuwa umetoa taarifa TANESCO.
[emoji871]Ni ushahidi kuwa taarifa zako zimeingizwa kwenye mfumo wetu
[emoji871]Inasaidia Shirika kuwa taarifa kamili ya nini kinachotolewa taarifa zaidi na wateja hivyo kuchukua hatua stahiki
Zingatia
[emoji871]Ili taarifa zako ziingizwe kwa ufasaha unaomba kutoa ushikiano kwa mtoa huduma wetu kwa kutoa taarifa kamili anazokuuliza
[emoji871]Kwa kazi ambayo imeshatangazwa mfano makatizo ya umeme hatutoi namba ya taarifa kwa kuwa inakuwa imeshatangazwa na ipo kwenye mfumo wetu
Ni haki yako kupata namba ya taarifa na ni wajibu wako kuikumbuka au kukumbuka namba ya simu uliyotolea taarifa ili kupata huduma bora
Unapopiga simu kuulizia taarifa yako tafadhali taja namba hiyo ya taarifa/namba ya simu uliyotaja wakati unatoa taarifa/jina ulilotumia nk
TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO
Reference number 2171 of early September this year. I'm not new to your servicesLengo la kutoa taarifa ni kuhudumiwa ili uhudumiwe taarifa inapaswa kuwa kamili itusaidie kuiona kwenye mfumo
Namba ya mita tafadhaliHabari, usiku wa kuamkia leo (Nov 17) nimenunua umeme kupitia sim banking ya Absa lakini hadi sasa sijapata token.Shida ni nini? Maana kabla ya kulipia umeme nimelipa bill ya majiView attachment 1628183
43015428675Namba ya mita tafadhali
..7040 8649 4490 5361 7754Habari, usiku wa kuamkia leo (Nov 17) nimenunua umeme kupitia sim banking ya Absa lakini hadi sasa sijapata token.Shida ni nini? Maana kabla ya kulipia umeme nimelipa bill ya majiView attachment 1628183