Hii mpaka uombe tutapima na kuangalia kama inakidhi vigezo ndio gharama ifateKuweka LUKU mpya kwa ajili ya wapangaji kwa Dar es Salaam nyumba ipo Mbezi Msuguri, Gharama ni kiasi gani ?!
Sent from my G-PADLITE using JamiiForums mobile app
Tumepoke taarifa kwa hatua zaidi tafadhali onyesha namba ya simu kwa ufatiliaji zaidiHabari! Mimi ni Raia kutokea eneo linaitwa MKOKOZI(MWEMBE MTENGU) mbele ya TOA NGOMA ukitokea kongowe
Tupo wilaya ya MKOA WA PWANI,WILAYA YA MKURANGA
Natanguliza shukran tumewashiwa umeme wa mradi (REA) ila changamoto inayotukabili tokea umeme uwashwe ni wiki ya pili sasa hatujafungiwa seal kwa meter na meter hazijasajiliwa tumejitahid kuwasiliana nao ila jibu lao rahisi kila siku ni kesho tutakuja kufunga seal na tulipewa unit 10 tu na zimeshaisha
Rai yetu tunaomba msaada wenu kutusajilia Meter ili tuendelee kupata huduma,tunajua mko bize ila kumaliza mlilolianza ni vyema zaidi
Pamoja katika ujenzi wa Taifa
Tumepoke taarifa kwa hatua zaidi tafadhali onyesha namba ya simu kwa ufatiliaji zaidiHabari! Mimi ni Raia kutokea eneo linaitwa MKOKOZI(MWEMBE MTENGU) mbele ya TOA NGOMA ukitokea kongowe
Tupo wilaya ya MKOA WA PWANI,WILAYA YA MKURANGA
Natanguliza shukran tumewashiwa umeme wa mradi (REA) ila changamoto inayotukabili tokea umeme uwashwe ni wiki ya pili sasa hatujafungiwa seal kwa meter na meter hazijasajiliwa tumejitahid kuwasiliana nao ila jibu lao rahisi kila siku ni kesho tutakuja kufunga seal na tulipewa unit 10 tu na zimeshaisha
Rai yetu tunaomba msaada wenu kutusajilia Meter ili tuendelee kupata huduma,tunajua mko bize ila kumaliza mlilolianza ni vyema zaidi
Pamoja katika ujenzi wa Taifa
Sasa simu inasaidia nini? Mkuranga kukatika umeme ni tatizo sana. Kila siku unakatika zaidi ya mara 5 na kurudi. Mfano leo ndani ya masaa 24 yaliyopita umeshakatika mara 6. Nakutajia mfano wa maeneo ni Mwandege na Vikindu. Hata muda huu hakuna umeme. Tatizo ni lipi?Je eneo gani
Simu tafadhali
TANESCO ina mfumo maalumu wa upokeaje taarifa za wateja wake hivyo kila taarifa inaingizwa kwenye mfumo ikiwemo namba ya simu ndio maana tunazioma,ikumbukwe kuwa kwa hali ya sasa taarifa bila mawasiliano inakuwa haijakamilika,hauwezi kutoa taarifa hata kwenye taasisi nyingine bila kukidhi marakwa ya nini taasisi husuka inahitajiSasa simu inasaidia nini? Mkuranga kukatika umeme ni tatizo sana. Kila siku unakatika zaidi ya mara 5 na kurudi. Mfano leo ndani ya masaa 24 yaliyopita umeshakatika mara 6. Nakutajia mfano wa maeneo ni Mwandege na Vikindu
Ushauri wako umepokewa asante sanaUSHAURI KWA KITENGO CHA DHARURA,
1. Kumekuwa na kuchelewa sana kuhudumiwa kwa wateja wengi wenye matizo ya kawaida ya kuzimikiwa kwa umeme ambao kimsingi wengi ni kuwashiwa kwenye mita zilizopo juu ya nguzo au pengine kutu kwenye Nyaya za kutokea kwenye mita nk
Mteja akiulizia hujibiwa kuna tatizo kubwa limejitokeza labka Trasformer imezima mahala hivyo wamekwenda huko na kutumia pengine nusu siku au siku nzima kwa transformer
Ushauri:
Kwa nini ile gari isishushe mafundi wakuu labda wawili na msaidizi mmoja na wengine wakaendelea kwenda kuangalia matatizo madogo madogo na kuwa rudia hao wengine mara watakapo hitajika?
2. Kwa mita zilizo ungua/haribika; kuna kuwa na muda mrefu wa kurejeshewa umeme kwani ni hadi wale wa Emergence wapeleke taarifa ofisini halafu waende watu wengine kuiona mita, halafu sijui warudi tena ofisini kuandikisha mita ya kubadilisha (muda mwingi unapotea hapa katikati) na kuleta usumbufu kwa wateja
Kwa nini kitengo cha emergence kisitoke na mita labla tatu na mtaalam mmoja wa mita ili ikitokea tatizo limalizwe huko huko na kupunguza gharama pamoja na usumbufu kwa mteja.
Au inamaana hawakiamini kitengo cha emergence au hakina wataalamu wanaoweza kufanya uamuzi sahihi wa kubadili mita?
Asante sana kwa kunijibuUshauri wako umepokewa asante sana
1.Ndivyo wataalamu wetu wafanyavyo na tunakuwa na magenge mengi kuhudumia sehemu tofauti
2.Mteja anapotoa taarifa ni taratibu zetu kuwa wa kwanza kufika ni emergency kuondoa hatari na kutatua au kupeleka kitengo kingine sio lazima mita vipo vingi,Aitha mita ni kifaa mihimu cha kupimia matumizi ya mteja hivyo ipo muongozo na taratibu na sifa ya nani na wakati gani mita inabadilishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila hitilafu ina muda wake wa kutatuliwa hii ipo na inasimamiwa na mkataba wa huduma kwa watejaAsante sana kwa kunijibu
Mnaonaje mkaweka time frame kuwa tangu mteja atoe taarifa ya dharua ni lazima awe amefikiwa kabla ya muda flani (hasa kwa manispaa); mfano masaa 12 na Kama muda huo unapita taarifa apewe Manager mkuu ili atatue changamoto labda aongeze watu wa dharura kwa kipindi hicho
Hii itasaidia watu kufanya kazi kwa wakati na sio bora mteja ahudumiwe
Huo mkataba wa huduma kwa wateja unapatikana wapi?Kila hitilafu ina muda wake wa kutatuliwa hii ipo na inasimamiwa na mkataba wa huduma kwa wateja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye www.tanesco.co.tz au ofisi zetu kote nchiniHuo mkataba wa huduma kwa wateja unapatikana wapi?
Asante kwa ushirikiano wako
30/11/2020Nimenunua umeme 30/11/2020 kupitia airtel money 0684286459 namba ya mita 07052843849 kwa bahati mbaya kabla sijaingiza kwenye mita sms nimeifuta,je naweza kupata token number?
Kuanzia 7/5/2020,maombi yangu ya kurekebishiwa ankara yangu ya LUKU kufuatana na matumizi yangu ya units chini ya 70 kwa mwezi eti yanashughulikiwa mpaka leo! Nimeshakumbushia tena kupitia page hii hii lakini mpaka leo hakuna kilichofanyika.Asante kwa taarifa tunaifanyia kazi