TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
TANESCO naomba msaidieni ndugu yangu,kafungiwa mita kwenye nyumba yake yapata wiki mbili sasa lakini umeme haujawahi kuwaka hata siku moja.

Kila akienda TANESCO SONGEA anaambiwa njoo kesho,tatizo nn?
 
Habari! Mimi ni Raia kutokea eneo linaitwa MKOKOZI(MWEMBE MTENGU) mbele ya TOA NGOMA ukitokea kongowe

Tupo wilaya ya MKOA WA PWANI,WILAYA YA MKURANGA

Natanguliza shukran tumewashiwa umeme wa mradi (REA) ila changamoto inayotukabili tokea umeme uwashwe ni wiki ya pili sasa hatujafungiwa seal kwa meter na meter hazijasajiliwa tumejitahid kuwasiliana nao ila jibu lao rahisi kila siku ni kesho tutakuja kufunga seal na tulipewa unit 10 tu na zimeshaisha

Rai yetu tunaomba msaada wenu kutusajilia Meter ili tuendelee kupata huduma,tunajua mko bize ila kumaliza mlilolianza ni vyema zaidi

Pamoja katika ujenzi wa Taifa
 
Tumepoke taarifa kwa hatua zaidi tafadhali onyesha namba ya simu kwa ufatiliaji zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je eneo gani

Simu tafadhali
Sasa simu inasaidia nini? Mkuranga kukatika umeme ni tatizo sana. Kila siku unakatika zaidi ya mara 5 na kurudi. Mfano leo ndani ya masaa 24 yaliyopita umeshakatika mara 6. Nakutajia mfano wa maeneo ni Mwandege na Vikindu. Hata muda huu hakuna umeme. Tatizo ni lipi?
 
Sasa simu inasaidia nini? Mkuranga kukatika umeme ni tatizo sana. Kila siku unakatika zaidi ya mara 5 na kurudi. Mfano leo ndani ya masaa 24 yaliyopita umeshakatika mara 6. Nakutajia mfano wa maeneo ni Mwandege na Vikindu
TANESCO ina mfumo maalumu wa upokeaje taarifa za wateja wake hivyo kila taarifa inaingizwa kwenye mfumo ikiwemo namba ya simu ndio maana tunazioma,ikumbukwe kuwa kwa hali ya sasa taarifa bila mawasiliano inakuwa haijakamilika,hauwezi kutoa taarifa hata kwenye taasisi nyingine bila kukidhi marakwa ya nini taasisi husuka inahitaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO naomba nijue utaratibu wa kuingia tariff zero,
Mana kila ninayemuuliza ana jibu lake.
 
USHAURI KWA KITENGO CHA DHARURA,
1. Kumekuwa na kuchelewa kuhudumiwa kwa wateja wengi wenye matizo ya kawaida ya kuzimikiwa kwa umeme ambao kimsingi wengi ni kuwashiwa tu kwenye mita zilizopo juu ya nguzo au pengine kutu kwenye Nyaya za kutokea kwenye mita nk. Mteja akiulizia hujibiwa kuna tatizo kubwa limejitokeza sehemu nyingine labda Trasformer imezima mahala hivyo wamekwenda huko na huishia kutumia pengine nusu siku au siku nzima kwa transformer
Ushauri:
Kwa nini ile gari isishushe mafundi wakuu labda wawili na msaidizi mmoja kwenye transformer na wengine wakaendelea kwenda kuangalia matatizo madogo madogo na kuwa rudia hao wengine mara watakapo hitajika?

2. Kwa mita zilizo ungua/haribika; kuna kuwa na muda mrefu wa kurejeshewa umeme kwani ni hadi wale wa Emergence wapeleke taarifa ofisini halafu waende watu wengine kuiona mita, halafu sijui warudi tena ofisini kuandikisha mita ya kubadilisha (muda mwingi unapotea hapa katikati) na kuleta usumbufu mkubwa kwa mteja ambao kimsingi sio kosa lake
Kwa nini kitengo cha emergence kisitoke ofisini na mita labla tatu hivi na mtaalam mmoja wa mita ili ikitokea tatizo limalizwe huko huko na kupunguza gharama pamoja na usumbufu kwa wateja?
 
USHAURI KWA KITENGO CHA DHARURA,
1. Kumekuwa na kuchelewa sana kuhudumiwa kwa wateja wengi wenye matizo ya kawaida ya kuzimikiwa kwa umeme ambao kimsingi wengi ni kuwashiwa kwenye mita zilizopo juu ya nguzo au pengine kutu kwenye Nyaya za kutokea kwenye mita nk
Mteja akiulizia hujibiwa kuna tatizo kubwa limejitokeza labka Trasformer imezima mahala hivyo wamekwenda huko na kutumia pengine nusu siku au siku nzima kwa transformer
Ushauri:
Kwa nini ile gari isishushe mafundi wakuu labda wawili na msaidizi mmoja na wengine wakaendelea kwenda kuangalia matatizo madogo madogo na kuwa rudia hao wengine mara watakapo hitajika?

2. Kwa mita zilizo ungua/haribika; kuna kuwa na muda mrefu wa kurejeshewa umeme kwani ni hadi wale wa Emergence wapeleke taarifa ofisini halafu waende watu wengine kuiona mita, halafu sijui warudi tena ofisini kuandikisha mita ya kubadilisha (muda mwingi unapotea hapa katikati) na kuleta usumbufu kwa wateja
Kwa nini kitengo cha emergence kisitoke na mita labla tatu na mtaalam mmoja wa mita ili ikitokea tatizo limalizwe huko huko na kupunguza gharama pamoja na usumbufu kwa mteja.
Au inamaana hawakiamini kitengo cha emergence au hakina wataalamu wanaoweza kufanya uamuzi sahihi wa kubadili mita?
Ushauri wako umepokewa asante sana

1.Ndivyo wataalamu wetu wafanyavyo na tunakuwa na magenge mengi kuhudumia sehemu tofauti

2.Mteja anapotoa taarifa ni taratibu zetu kuwa wa kwanza kufika ni emergency kuondoa hatari na kutatua au kupeleka kitengo kingine sio lazima mita vipo vingi,Aitha mita ni kifaa mihimu cha kupimia matumizi ya mteja hivyo ipo muongozo na taratibu na sifa ya nani na wakati gani mita inabadilishwa

Asante sana kwa kunijibu
Mnaonaje mkaweka time frame kuwa tangu mteja atoe taarifa ya dharua ni lazima awe amefikiwa kabla ya muda flani (hasa kwa manispaa); mfano masaa 12 na Kama muda huo unapita taarifa apewe Manager mkuu ili aone namna ya kutatua changamoto labda aongeze watu wa dharura kwa kipindi hicho (hasa msimu wa mvua)
Hii itasaidia watu kufanya kazi kwa wakati na sio bora mteja ahudumiwe
Ujue kuna watu wapo manispaa na wanafikiwa baada ya siku mbili hadi nne hivi baada ya kutoa taarifa kitu ambacho naona sio sawa kwani wamelipia hiyo huduma
 
Asante sana kwa kunijibu
Mnaonaje mkaweka time frame kuwa tangu mteja atoe taarifa ya dharua ni lazima awe amefikiwa kabla ya muda flani (hasa kwa manispaa); mfano masaa 12 na Kama muda huo unapita taarifa apewe Manager mkuu ili atatue changamoto labda aongeze watu wa dharura kwa kipindi hicho
Hii itasaidia watu kufanya kazi kwa wakati na sio bora mteja ahudumiwe
Kila hitilafu ina muda wake wa kutatuliwa hii ipo na inasimamiwa na mkataba wa huduma kwa wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO haturidhishwi na utaratibu wa usambazaji wa Umeme katika Kitongoji cha Tambani kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani. Wananchi wengi wameachwa bila kusambaziwa nguzo na hata waliopelekewa nguzo mpaka leo umeme haujawashwa ni zaidi ya miezi mitatu sasa
 
Nimenunua umeme 30/11/2020 kupitia airtel money 0684286459 namba ya mita 07052843849 kwa bahati mbaya kabla sijaingiza kwenye mita sms nimeifuta,je naweza kupata token number?
30/11/2020

5931-0260-4394-3355-4197 (9800/=)

2326-9444-4232-3673-4604 (9693/=)

4156-5666-2559-4732-4695 (10000/=)

4501-0372-6727-8950-6582 (8000/=)

Ulinunua mara nne siku hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Mkazi wa eneo la mwembe mtengu mkokozi maeneo ya kanisa la kkkt,

Napenda kutoa dukuduku langu leo maana tumeshakaa na kuvumilia muda mrefu sasa bila jawabu kutoka kwa wahusika,

Eneo tuliopo ni muda sasa hakuna nishati ya umeme, licha ya wenzetu waliotuzunguka pande zote nne wanawekewa umeme na hadi hivi sasa naandika hapa wameshawashia hapo juzi, lakini sisi hakuna hata procedure zinazoendelea,

Miezi mitatu iliyopita tulipeleka maombi ya kuhudumiwa Tanesco ya mkuranga, walituahidi mwezi unaoanza (September) wangekuja kufanya survey wajue nguzo ngapi zinatosha kutokea umeme ulipokomea, licha ya kuwajibu kuwa kuna nguzo mbili tu kutoka umeme ulipo na Nyumba ya kwanza kwenye eneo letu, na hadi umeme ufikie Nyumba zote zilizoeneo letu (jumla nyumba 20 tu) ni nguzo saba 7 pekee kuanzia na Zile mbili za njiani.

Hadi hivi leo ninavyoongea hakuna kilichofanyika tumeshafanya juhudi za kurudi kufatilia atleast wangekuja tu kutupa tu nguzo chini kungekuwa na ahueni Kuna jambo limetendeka,

Hili eneo jeografia yake sio nzuri, ni mwisho wa eneo hili la mkokozi tumezungukwa na bonde hivyo inapelekea hakuna eneo la makazi tena ukitoka kwetu , wezi na vibaka wanachukua advantage hiyo kutoka kwenye mabonde huko kuja huku kwetu kufanya uhalifu kwa sababu hakuna umeme ni giza totoro ikifika saa moja tu,
Hata ukichukua boda boda usiku hakufikishi hadi kwako kwakuhofia usalama wake anakuachia hapo kkkt kanisani palipo na umeme,

Tunaomba mtusaidie tuna jitahidi kujenga kupendezesha mji na kuleta maendeleo lakini serikali yetu inatukwamisha.

Namba zangu ni

0768900531
Johnson Mgaya.
Mkazi wa mwembe mtengu, mkokozi , kkkt kwa diwani.
 
Asante kwa taarifa tunaifanyia kazi
Kuanzia 7/5/2020,maombi yangu ya kurekebishiwa ankara yangu ya LUKU kufuatana na matumizi yangu ya units chini ya 70 kwa mwezi eti yanashughulikiwa mpaka leo! Nimeshakumbushia tena kupitia page hii hii lakini mpaka leo hakuna kilichofanyika.
Tanesco Arusha,wake up.Tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom