Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Umeme ulikuwa haujafikapo Kulikuwa na ngzo ndo walizisimamisha muda mrefu sana. Ila wakati huu Wa kampeni wakafunga waya. Baada ya uchaguzi kuisha wakaleta transfoma. Muda huu tukienda ofisini kuulizia kuhusu kufungiwa wanadai bado hizo waya hazijatosheleza wateja.
Mpaka zije hizo waya ndo tufungiwe umeme na bado kuna sehemu hawajasambaza nguzo na zipo nguzo ambazo waya hazijagungwa.
Mkoa ni mwanza.
Wilaya ya nyamagana
Tarafa ni igoma
Kata ya Kishiri
Mtaa ni Kishiri B.
Maombi tulipeleka muda sana ila kwa vile huduma haikuwepo hatujataarifiwa tukalipie.
Ila saivi moto Upo kwenye waya.
Na je tulio tayari hatuwezi kufungiwa
Mpaka tusubirie pote pakamilike?
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
 
Wakat nafuatilia kuwekewa umeme nikaandika humu...boss wangu hakupenda niandike jf.mwenzEnu kibarua changu kinahatihati. Kumbe tanesco mmempigia!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni taratibu gani za kufuatwa ninapotaka kubadili jina la umiliki wa mita
 
Ni taratibu gani za kufuatwa ninapotaka kubadili jina la umiliki wa mita
Fika ofisi ya eneo lako na nyaraka zote zinazoonyesha uhalali wa wewe kutaka kutumia jina husika
 
Mbona Sasa izo namba hatuzipati mwezi Sasa uanelekea kuisha hapa Mbeya mjini hatuzipati izo namba za kulipia tatizo Ni nini? au mmeweka magarasa huko ofisini.
 
Samahani inawezekana kubadili mita baada ya hii ya mwanzo kuharibika?
 
Na nyumba matumizi yake yamepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na kuacha kutukia baadhi ya vifaa sasa nahitaji kurudi kwenye tariff 4, kwani matumizi kwa sasa ni chini ya unit 75, je nahitaji kufanya nini?
 
Mkoa: TANGA
Wilaya:KOROGWE
Kijiji:MAGOMA MAKANGARA
Kitongoji:SONGEA
Jina:ZUBERI ABDALLAH
Ni mwezi wa 8 sasa nimejaza fomu za maombi ya kuunganishiwa umeme lakini bado sioni hata dalili.
Tatizo nin?
 
Tatizo la umeme maswa simiyu ni kidonda ndugu
 
Tafadhali onyesha

Jina

Eneo

Wilaya

Simu

Tatizo

Toka lini

Kwa hatua zaidi
Jina , Tupo wengi
Eneo, Mbeya mjini

Nilizani mtakuja na majibu ya kulizisha zaidi mnaleta kitu kile kile, kalibia wiki kadhaa sasa hatujapata namba za kulipia nyie mnakazana jina ,eneo ni Mbeya mjini ,shida nini. ?
 
Tafadhali tambua unapoombwa taarifa na Makao makuu tunalenga kufatilia kuanzia kwenye mifumo yetu kwa kuwa huwezi kutoa lalamiko bila taarifa,unaweza ukatuma hara inbox
 
Tafadhali tambua unapoombwa taarifa na Makao makuu tunalenga kufatilia kuanzia kwenye mifumo yetu kwa kuwa huwezi kutoa lalamiko bila taarifa,unaweza ukatuma hara inbox

Mbona sisi wengine tumeonyesha vitu vyote mnavyohitaji na bado hakuna hatua iliyo chukuliwa?

Nilidhani humu itakuwa ni sehemu rahisi sana kuhudumiwa kwakuwa ni eneo la public matokeo yake ni kujianika tu
 
Tafadhi tutumie tufanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…