Tanesco kiukweli mnaturudisha nyuma sana kwenye maendeleo kama taifa, nilishakuja hapa kueleza masikitiko yangu kuwa hamjanitendea haki ktk suala la kupatiwa miundo mbinu , nilieleza mkaniambia mnalichukulia hatua lkn hizo hatua sijaziona au hatua zenyewe ni za kukaa kimya? Nimejaza fomu ya kupatiwa umeme toka januari fomu ikapotea ktk ofisi zenu nikajaza upya mwezi april lkn waty wa kuja kuservey walikuja mwezi jully na wakabainisha kuwa zinahitajika nguzo mbili wakaondoka lkn toka hyo siku hakuna kilichofanyika nikipiga simu ninapewa majibu ya kuridhisha tu kama mgonjwa aliepoteza matumaini ya kupona, je mahali sahihi ninapoweza kusimama na kutoa malalamiko yangu ni kwenu au tutafute jukwaa lingine ??? Ninaitwa OSCAR MKANDYA JOHN Nipo kitongoji cha Iseni kata ya Nyanzenda halmashauri ya Buchosa -Sengerema namba ya Simu 0768145634