TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
UKONGA UMEME UMEKATIKA TANGU MCHANA HADI SASA. TANESCO GONGO LA MBOTO WAPO KIMYA TATIZO NI NINI? BADILIKENI
 
Mnakata sana umeme Sakina - Arusha karibu siku nzima jamani, tuoneane huruma.
Jana mlikata asubuhi ukarudi saa 11 jioni, Leo mmekata saa 3 asubuhi mpaka sasa haujarudi. Punguzeni aisee
 
Kichwa cha habari chajieleza vyema,

Tanesco ya Arusha kuna shida gani, umeme kukatika mji mzima kila ikifika jioni, leo ni siku ya Tatu, mamlaka iko kimya hata taarifa kwa wanainchi hamna !!

Tanesco Arusha mnafeli wapi, toeni hata taarifa tu basi tujue.

Namna hii viwanda vitakuwa endelevu kweli ?

Inakera mno
 
Tanesco kiukweli mnaturudisha nyuma sana kwenye maendeleo kama taifa, nilishakuja hapa kueleza masikitiko yangu kuwa hamjanitendea haki ktk suala la kupatiwa miundo mbinu , nilieleza mkaniambia mnalichukulia hatua lkn hizo hatua sijaziona au hatua zenyewe ni za kukaa kimya? Nimejaza fomu ya kupatiwa umeme toka januari fomu ikapotea ktk ofisi zenu nikajaza upya mwezi april lkn waty wa kuja kuservey walikuja mwezi jully na wakabainisha kuwa zinahitajika nguzo mbili wakaondoka lkn toka hyo siku hakuna kilichofanyika nikipiga simu ninapewa majibu ya kuridhisha tu kama mgonjwa aliepoteza matumaini ya kupona, je mahali sahihi ninapoweza kusimama na kutoa malalamiko yangu ni kwenu au tutafute jukwaa lingine ??? Ninaitwa OSCAR MKANDYA JOHN Nipo kitongoji cha Iseni kata ya Nyanzenda halmashauri ya Buchosa -Sengerema namba ya Simu 0768145634
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Wapinzani wamechelewesha sana maendeleo.

Nasema uongo zanguuuuuuuuuuuuuuu?
 
Nauliza namna ya kujua umeme umekatika au ni salio la luku limeisha kwa kutumia hizi rimoti za luku
Zamani ilikuwa rahs kuona kwa kuangalia kwenye mita ile taa nyekundu kama inawaka
 
Back
Top Bottom